Showing posts with label MAPENZI. Show all posts
Showing posts with label MAPENZI. Show all posts

Wanafunzi wa sekondari ya wasichana iliyopo wilayani Bagamoyo mkoani Pwani wadaiwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja...


Picha  ya  mtandao
**
Shule moja ya sekondari ya wasichana iliyopo wilayani Bagamoyo mkoani Pwani,  imelalamikiwa na wanafunzi pamoja na wazazi kuwa mabinti wanajihusisha na vitendo vya ngono vya jinsia moja (usagaji).

Akizungumza na NIPASHE mmoja wa wazazi (jina linahifadhiwa)  alisema shule hiyo imepoteza sifa kwa kuwa kuna wimbi kubwa la wanafunzi wanaojihusisha na vitendo hivyo vya usagaji.

Alisema  mtoto wake alikuwa ameanza kidato cha kwanza mwaka jana na baada ya kumuandikisha ndipo baadhi ya watu walipomueleza kuwa shule hiyo kwa sasa ina sifa mbaya ya mchezo ‘huo mchafu.’

"Baada ya kuelezwa nikasema nitalifanyia kazi jambo hilo hivi karibuni katika kupekua madaftari ya mwanangu nakutana na kibarua cha mapenzi alichoandikiwa na msichana mwenzake niliumia sana na nilitumia nguvu kumbana bila hivyo asingeniambia," alisema

Alisema ilimbidi amhamishe binti yake na kujiunga na shule moja ya sekondari iliyopo mkoani Tanga kwa ajili ya kuendelea na masomo ya kidato cha pili mwaka huu.

Mzazi huyo alisema anashangazwa ni kwa nini hatua hazichukuliwi wakati suala hilo ni la hatari kwani watoto wao wataharibika kiakili pamoja na kimwili na wanaweza kuambukizana VVU na Ukimwi..

Alisema wakati mwanaye akisoma katika shule hiyo alikuwa akihudhuria vikao vya wazazi mara kwa mara na kwamba kila kikao walikuwa wakifukuzwa wanafunzi kutokana na mwenendo huo.

"Hili tatizo ni kubwa na kufukuzwa kwa mwanafunzi sidhani kuwa wanatatua tatizo nadhani hakuna usimamizi mzuri kwani wangeweza kudhibiti kwa haraka tatizo hilo kabla ya kuwa kubwa," alisema

Pia alisema ndugu yake imembidi amhamishe mwanae na kumtafutia shule nyingine kwa kuhofia binti yake  kurubuniwa kwani wanakuwa ni wadogo na hawaelewi chochote, hivyo inaweza kuwa rahisi kudanganywa na kuingia kwenye vitendo hivyo viovu.

Alisema kuwa hata kiwango cha ufaulu kwa sasa shule hiyo imeshuka kutokana na tatizo hilo kwa wanafunzi .

Hata hivyo, NIPASHE  ilizungumza na mwanafunzi mmoja ambaye anasoma katika shule hiyo kuhusiana na suala hilo ambapo alikiri kuwepo kwa jambo hilo na kueleza kuwa wanaofanya mchezo huo ni wa kidato cha tano na cha sita.

"Mimi hawajanifanyia ila najua wanaofanya mchezo huo ni wale walioko kidato cha tano na cha sita," alisema Pia kuna baadhi ya wazazi wengine wamekuwa wakilalamikia jambo hilo na kueleza kuwa ndugu zao imewalazimu kuwahamisha watoto wao kutokana na vitendo hivyo vinavyofanyika shuleni hapo.
Continue Reading...

Mariam Ismail afunguka kuhusu madai ya kusagana na Irene Uwoya..., Soma Zaidi HAPA



Mastaa wa filamu nchini Mariam Ismail na Irene Uwoya wanadaiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi(usagaji) na kudaiwa kuishi pamoja . Wiki kadhaa nyuma muigizaji mmoja chipukizi anayekuja juu kwa kasi aliutonya mtandao wa Swahiliworld  kuwa Mastaa  hao  wajihusisha  na  penzi  la  jinsia  moja.

"Mariam Ismail na Uwoya wanasagana tena wanaishi pamoja kabisa, fuatilieni mtajua".

 Baada ya habari hizo ilibidi  kuwatafuta mastaa hao,wa kwanza kutafutwa akiwa Irene Uwoya lakini namba yake ya simu kwa takribani wiki 2 ilikuwa haipatikani na hata jana alipotumiwa ujumbe kupitia namba yake nyingine hakujibu.

Baada ya hapo ilibidi kumtafuta Mariam Ismail ambaye wamecheza filamu nyingi na Irene Uwoya kama vile Sobbing Sound, Omega Confusion, The Return Of Omega na Apple.

Hata hivyo Mariam anayefanya vizuri katika filamu alionekana kuwa busy na kuchelewa kujibu ujumbe wa madai ya kusagana na Uwoya lakini jana star huyo aliyejipatia umaarufu kwa kuuvaa vizuri uhusika katika filamu zake alitoa ushirikiano mzuri kwa kujibu madai hayo akidai sio kweli ila yeye na Uwoya ni marafiki wa karibu sana na wanasaidiana katika shida na raha ndiyo maana baadhi ya watu wameshaanza kusema vibaya...
 

"Nadhani mimi ndio mtu wa kwanza kupiga vita ujinga kama huo. Mimi ni mwanamke ambaye nimeumbwa kikamilifu,sina kasoro yoyote ya kunifanya niwe na mwanamke mwenzangu....

"Hao wanaofanya ujinga huo nadhani wana vijikasoro kwenye mili yao.Irene Uwoya ni rafiki yangu sana tena urafiki wetu sio wa leo wala kesho... 

"Ni marafiki wa kushibana kabisa, nikoseapo huwa ananikosoa na yeye akoseapo huwa namkosoa.Sometimes huwa tunagombana na kupatana vitu ambavyo ni vya kawaida katika maisha." alisema Mariam ambaye hajawahi kukumbwa na skendo yoyote ile kabla ya  hii.
 

Mariam ambaye kipaji chake cha filamu hujionyesha waziwazi alimalizia kwa kusema:

 "Irene ananiheshimu sana na mimi humuheshimu sana Irene, imefikia hatua ya mimi na yeye tukakaa chini na kupanga tuishi wote kitu ambacho sioni tatizo na hilo. 
 
"Ingekua ni chumba kimoja hapo sawa, lakini ni nyumba kubwa yenye kujitosheleza, kila mtu na room yake... Tunaishi kwa amani na kwa kushirikiana. penye tatizo hulitatua wenyewe bila kumshirikisha mtu. 

" Ukimya wetu na kupatana kwetu kusiwafanye watu kuanza kuhisi ujinga juu yetu... Natumai ujumbe wangu utawafikia mashabiki wangu wote. Asante. In god I trust."

>>Swahiliworld.
Continue Reading...

Msanii wa bongo movie asimulia jinsi alivyohongwa milioni 5 ili Akubali Kufanya Mapenzi Kinyume na Maumbile, Soma Zaidi Hapa



Msanii anayeuza nyago kwenye filamu za Kibongo, Coletha Raymond ‘Koleta’ amefunguka kuwa analaani mastaa wanaokubali kutumiwa kimapenzi kinyume na maumbile akidai kuwa wapo ambao wamekuwa wakifanya kitendo hicho kwa tamaa ya pesa.


Akiongea  na  gazeti  la Ijumaa, Koleta alisema anachukizwa na tabia hiyo kwani ni uchafu na kujidhalilisha kulikopitiliza.
 

Wanaume siku hizi ni matapeli sana, wengi wanataka kuwatumia wanawake kinyume na maumbile hivyo wasanii wa kike tuwe macho. Alishawahi kunitokea mwanaume mwenye heshima zake, alinipigia simu na kuniambia licha ya kuwa na mke kuna vitu anavikosa.
 
“Nilipomuuliza ni vitu gani akaniambia anataka anitumie kinyume na maumbile na nichague zawadi isiyopungua milioni tano aniletee, nikakataa na kumwambia sifanyi biashara hiyo, ukweli mimi nakemea na ninawachukia sana wanaofanya mchezo huo,
” alisema Koleta.
Continue Reading...

NINA MIAKA MINNE KWENYE NDOA ILA MUME WANGU HAJAWAHI KUNIFIKISHA KILELENI HATA MARA MOJA.., NIFANYAJE?

Mimi ni msichana wa miaka 27 nimeolewa miaka minne iliyopita na nina watoto wawili wote wa kike. Mwanzoni mwa mahusiano yetu na mume wangu (wakati tukiwa wachumba) na hata kama mwaka mmoja na nusu hivi kwenye ndoa yetu, baba watoto alikuwa ananiweza kweli….yaani nikikutana nae…aaah, allahmdullillah, nilikuwa naiona anga kwa uhalisia kabisa….na akiwa amechoka sana, basi hata mbili nitapata na kweli nilikuwa najisikia nime…..! Na kwa wiki nilikuwa napata kama siku nne hivi, yale mapigo ya sawa sawa.

Sasa kwa kipindi kama cha mwaka mmoja hivi…da, baba watoto kwa kweli ana underperform kabisa….wakati mwingine inapita wiki nzima, sionji na mimi mwanamke huwa nahitaji…nikimwambia anasema nimechoka sana kazini. Kwa heshima niliyo nayo kwa mume wangu, huwa namwambia sawa, lakini moyoni huwa nabaki na maswali mengi kuliko majibu. Huwa nahisi moja kati ya mambno haya:

1) Huenda mume wangu ameanza mambo ya nyumba ndogo, so akitoka kazini huenda anamalizia huko huko then akirudi nyumbani anakuwa hoi

2) Labda umbile langu limemchosha, coz kabla hatujaoana nilikuwa na bambataa ya wastani na kiuno chembamba, lakini now sio utani, nyonga imebaki vile vile lakini makalio yameongezeka mara-dufu, so huwa hafikii pale “Dar es Salaam“ kisawasawa kama tunado ile style ya chuma mboga.

Haya yoye ni mawazo yangu ambayo ninayo moyoni. Sasa sijajua kama nimuulize au na mimi nianze kupiga show za nje kwani wanaonitongoza nikiwapanga kuanzia Dar, basi watafika hadi morogoro……tatizo nampenda baba watoto na nimempa muda wa kama miezi 6 hivi, kama hatobadilika, basi nita-confirm namba (1) ya hapo juu….so na mimi nitaanzia  kutafuta wa kurusha nae roho.

Naomba mnisadies what to do at the moment!
Continue Reading...

HIZI NDO ATHARI ZA KUFANYA MAPENZI MARA KWA MARA ....

Wapenzi wengi hasa wale ambao uhusiano wao ni mchanga hupenda sana kufanya mapenzi kila wanapokutana au wanapohisi wamehemkwa na miili yako.

 Katika hali ya kawaida kufanya mapenzi kuna faida nyingi, lakini linapokuja suala la kuzidi kiasi tunapata matatizo ya msingi ambayo huleta madhara kwa watu wanaoendekeza sana ngono.

Kuna watu ambao hawezi kulala bila kufanya mapenzi na huku wengine wakikosa uwezo wa kuvumilia hata kwa siku mbili au tatu. 


 Mtu anaweza kuwa na mke na kujikuta kila siku anatumia ‘chakula cha usiku’ kwa sababu tu hakuna wa kumkataza na kwamba ana haki ya kufanya hivyo kwa sababu amelipa mahari.

Hilo linaweza kuwa jambo jema kwa upande mwingine, lakini uchunguzi unaonyesha kuwa watu wengi kati ya watu wanaolalamika kupoteza hisia za kimapenzi hutoka katika kundi la watu wapenda ngono.


 Pamoja na tatizo hilo, yapo madhara mengine mengi ambayo mtu asiyekuwa na kiasi katika tendo la ndoa anaweza kukabiliana nayo, hivyo ni vema tukajifunza ili tusiwe watu wa kuendekeza miili kiasi cha kulazimika kufanya mapenzi kila tunapokutana hata kwenye nguzo ya umeme na chini ya miti kwa vile tu miili imetaka kufurahika.
 KUPOTEZA HAMU YA TENDO
Watu wenye pupa za kufanya mapenzi hupoteza haraka hisia za kimapenzi kwa wapenzi wao kutokana na sababu za kisaikolojia zinazoweza kujitokeza wakati wa ufanyaji wa tendo la ndoa mara kwa mara.

 Sababu hizo zinaweza kuwa ni pamoja na zile za kumzoea mwenza kiasi cha kukosa msisimko hata anapomuona akiwa mtupu.


 Aidha kukinai haraka staili za kimapenzi  kunatajwa kujitokeza kutokana na kukutana mara kwa mara kwa aina zile zile za mapenzi na pengine sehemu moja, kitanda kimoja na chumba kile kile, jambo ambalo linaweza kumfanya mhusika asione jipya kutoka kwa mwenza wake na hivyo kupoteza hamu naye na kuhisi kama hawezi tena kushiriki tendo la ndoa kikamilifu.

 KUUJAZA MWILI TAMAA KUBWA
Tabia ya kufanya mapenzi mara kwa mara huongeza uzalishaji wa homoni mwilini na kuufanya mwili uwe na msukumo mkubwa wa kutaka kuridhishwa kwa tendo la ndoa bila kukosa na hivyo kumfanya mhusika asiwe mtu mwenye uwezo wa kuzuia tamaa na kukosa chaguo la nani wa kufanya naye mapenzi na kwa wakati gani

 Watu wanaojiendekeza katika kufanya mapenzi mara kwa mara ndiyo wale ambao kila wanayemtazama barabarani humtamani bila kujali hadhi yake. 
Hawa ndiyo wanaobaka, kusaliti ndoa zao hata kwa watumishi wa ndani au kufanya mapenzi na watoto wao wa kuwazaa kwa vile akili zao huwa zimeathirika kwa tamaa ya mapenzi. 

Unapokuwa mtu wa kufanya mapenzi mara kwa mara huwezi kuwa na uwezo wa kuzuia tamaa yako. Mumeo akiondoka siku mbili unatamani kuwa hata na houseboy ili akukate kiu ya penzi. 


 KUPOTEZA RAHA KAMILI YA TENDO
Raha ya tendo hutegemea sana hisia iliyokuzwa kutokana na mapenzi sahihi na kiu ya kufanya mapenzi, hivyo basi ukiwa mtu wa kufanya mapenzi kila mara unaweza kupoteza msisimko wa tendo na kujikuta unapata furaha ambayo haikutoshi kumaliza tamaa yako.


 Kama ni mapenzi utakuwa unayafanya kwa mazoea tu na msisimko wako utakuwa mdogo!
 KUPOTEZA NGUVU ZA MWILI
Madhara mengine yanayoweza kupatikana kwa kufanya mapenzi mara kwa mara ni pamoja na kupoteza nguvu nyingi za mwili. 

Kama tujuavyo tendo la ndoa hasa kwa wanaume huwafanya watumie nguvu nyingi, hivyo kuufanya mwili uchoke. 


Aidha lishe inapokuwa ndogo kwa wafanya mapenzi mwili hukosa nguvu za kutosha kuhimili misukosuko ya kimaisha.


 Sambamba na hilo mbegu za uzazi zinazotoka kwa wanaume wanaofanya mapenzi mara kwa mara huwa dhaifu.

 KUPATA MAGONJWA
Kama tulivyojifunza kuwa watu wanaofanya mapenzi mara kwa mara huwa na tamaa na hujikuta wanafanya mapenzi holela ambayo huweza kuwasababishia magonjwa ya zinaa ukiwemo ukimwi.


Ufanyaji wa mapenzi usiokuwa na msukumo wa kutosha hasa kwa wanawake huwafanya waishiwe msisimko na kuzifanya sehemu zao za siri kutotoa ute unaoweza kuwakinga na michubuko wakati wa kujamiiana na hivyo kuwasababishia michubuko itakayoweza kuleta maambukizi ya haraka ya magonjwa ya zinaa ukiwemo ukimwi.


 Baada ya kungalia madhara hayo machache ni vema kwa wapenzi kupunguza kiwango cha kufanya mapenzi ili kuifanya miili iwe na uvumilivu unaoweza kumsaidia mtu kukaa kwa muda mrefu bila kumsaliti mpenzi wake hata kama atakuwa amesafiri mbali naye kimasomo, kikazi au kibiashara.
Wapenzi wengi hasa wale ambao uhusiano wao ni mchanga hupenda sana kufanya mapenzi kila wanapokutana au wanapohisi wamehemkwa na miili yako.

 Katika hali ya kawaida kufanya mapenzi kuna faida nyingi, lakini linapokuja suala la kuzidi kiasi tunapata matatizo ya msingi ambayo huleta madhara kwa watu wanaoendekeza sana ngono.

Kuna watu ambao hawezi kulala bila kufanya mapenzi na huku wengine wakikosa uwezo wa kuvumilia hata kwa siku mbili au tatu. 


 Mtu anaweza kuwa na mke na kujikuta kila siku anatumia ‘chakula cha usiku’ kwa sababu tu hakuna wa kumkataza na kwamba ana haki ya kufanya hivyo kwa sababu amelipa mahari.

Hilo linaweza kuwa jambo jema kwa upande mwingine, lakini uchunguzi unaonyesha kuwa watu wengi kati ya watu wanaolalamika kupoteza hisia za kimapenzi hutoka katika kundi la watu wapenda ngono.


 Pamoja na tatizo hilo, yapo madhara mengine mengi ambayo mtu asiyekuwa na kiasi katika tendo la ndoa anaweza kukabiliana nayo, hivyo ni vema tukajifunza ili tusiwe watu wa kuendekeza miili kiasi cha kulazimika kufanya mapenzi kila tunapokutana hata kwenye nguzo ya umeme na chini ya miti kwa vile tu miili imetaka kufurahika.
 KUPOTEZA HAMU YA TENDO
Watu wenye pupa za kufanya mapenzi hupoteza haraka hisia za kimapenzi kwa wapenzi wao kutokana na sababu za kisaikolojia zinazoweza kujitokeza wakati wa ufanyaji wa tendo la ndoa mara kwa mara.

 Sababu hizo zinaweza kuwa ni pamoja na zile za kumzoea mwenza kiasi cha kukosa msisimko hata anapomuona akiwa mtupu.


 Aidha kukinai haraka staili za kimapenzi  kunatajwa kujitokeza kutokana na kukutana mara kwa mara kwa aina zile zile za mapenzi na pengine sehemu moja, kitanda kimoja na chumba kile kile, jambo ambalo linaweza kumfanya mhusika asione jipya kutoka kwa mwenza wake na hivyo kupoteza hamu naye na kuhisi kama hawezi tena kushiriki tendo la ndoa kikamilifu.

 KUUJAZA MWILI TAMAA KUBWA
Tabia ya kufanya mapenzi mara kwa mara huongeza uzalishaji wa homoni mwilini na kuufanya mwili uwe na msukumo mkubwa wa kutaka kuridhishwa kwa tendo la ndoa bila kukosa na hivyo kumfanya mhusika asiwe mtu mwenye uwezo wa kuzuia tamaa na kukosa chaguo la nani wa kufanya naye mapenzi na kwa wakati gani

 Watu wanaojiendekeza katika kufanya mapenzi mara kwa mara ndiyo wale ambao kila wanayemtazama barabarani humtamani bila kujali hadhi yake. 
Hawa ndiyo wanaobaka, kusaliti ndoa zao hata kwa watumishi wa ndani au kufanya mapenzi na watoto wao wa kuwazaa kwa vile akili zao huwa zimeathirika kwa tamaa ya mapenzi. 

Unapokuwa mtu wa kufanya mapenzi mara kwa mara huwezi kuwa na uwezo wa kuzuia tamaa yako. Mumeo akiondoka siku mbili unatamani kuwa hata na houseboy ili akukate kiu ya penzi. 


 KUPOTEZA RAHA KAMILI YA TENDO
Raha ya tendo hutegemea sana hisia iliyokuzwa kutokana na mapenzi sahihi na kiu ya kufanya mapenzi, hivyo basi ukiwa mtu wa kufanya mapenzi kila mara unaweza kupoteza msisimko wa tendo na kujikuta unapata furaha ambayo haikutoshi kumaliza tamaa yako.


 Kama ni mapenzi utakuwa unayafanya kwa mazoea tu na msisimko wako utakuwa mdogo!
 KUPOTEZA NGUVU ZA MWILI
Madhara mengine yanayoweza kupatikana kwa kufanya mapenzi mara kwa mara ni pamoja na kupoteza nguvu nyingi za mwili. 

Kama tujuavyo tendo la ndoa hasa kwa wanaume huwafanya watumie nguvu nyingi, hivyo kuufanya mwili uchoke. 


Aidha lishe inapokuwa ndogo kwa wafanya mapenzi mwili hukosa nguvu za kutosha kuhimili misukosuko ya kimaisha.


 Sambamba na hilo mbegu za uzazi zinazotoka kwa wanaume wanaofanya mapenzi mara kwa mara huwa dhaifu.

 KUPATA MAGONJWA
Kama tulivyojifunza kuwa watu wanaofanya mapenzi mara kwa mara huwa na tamaa na hujikuta wanafanya mapenzi holela ambayo huweza kuwasababishia magonjwa ya zinaa ukiwemo ukimwi.


Ufanyaji wa mapenzi usiokuwa na msukumo wa kutosha hasa kwa wanawake huwafanya waishiwe msisimko na kuzifanya sehemu zao za siri kutotoa ute unaoweza kuwakinga na michubuko wakati wa kujamiiana na hivyo kuwasababishia michubuko itakayoweza kuleta maambukizi ya haraka ya magonjwa ya zinaa ukiwemo ukimwi.


 Baada ya kungalia madhara hayo machache ni vema kwa wapenzi kupunguza kiwango cha kufanya mapenzi ili kuifanya miili iwe na uvumilivu unaoweza kumsaidia mtu kukaa kwa muda mrefu bila kumsaliti mpenzi wake hata kama atakuwa amesafiri mbali naye kimasomo, kikazi au kibiashara.

Continue Reading...

"MUME WANGU ANAPENDA KUJICHUA....NIKIMKATAZA ANAKUWA MKALI, NIFANYEJE?"...

"Mimi ni mdada, mwenye miaka 30, pia nipo kwenye ndoa miaka 8. Kwa bahati mbaya nipo kwenye lile kundi wasiokuwa na watoto ila si tasa, nikiwa kwenye ndoa niliwahishika ujauzito ukafikisha miezi 8 ikaharibika na kufanyiwa upasuaji hadi leo hii sijabahatika tena.

 

Pia ingawa mume wangu yeye alishakuwa na watoto before hajanioa mimi namshukuru Mungu sipati manyanyaso yoyote ya suala la mtoto toka kwa mume wangu, daima anaamini siku mungu atashusha baraka zake.

Kama isemekavyo ndoa nyingi ndoana, kuna baadhi ya vidudu kwenye ndoa yangu vinanipa wakati mgumu sana, jamani msione wanandoa wanatoka nje ni wazi kuna kitu ndani, eeeehehe ile mada ya kusema "mume namtaka bf namtaka" ilinifurahisha, ingawa mimi bado sijafikia kutoka nje.


Tatizo la kwanza, ni mume wangu hupenda kupiga bomba sanaaa, yaani nyeto, mimi najiamini kwenye sita kwa sita naujua mchezo, nilipoanza kugundua hilo miaka mitano iliyopita. Kuna siku nikiwa sipo chumbani hujikamua mwenyewe, mara za kwanza nikawa mkali kwake nikimwambia ina maana mimi sikuridhishi?

Pia anapojua nina hasira naye huja juu kama moto wa kifuu. Any way si njia mbaya kujisaidia mwenyewe unapozidiwa ila tatizo linakuja pale mimi ninapotaka kutombana, jamani jogoo halisimami sawasawa nadhani ni kutokana alishapiga nyeto wakati nimetoka, sometimes anafanya kushikilia ndio aingize ila ni ngumu.


Tabia yake hii imeniathiri kwani huwa najiuliza sasa mtu wa hivi ukiwa na housegirl au ndugu wa kike kwenye nyumba je si anaweza kuwatomba kama umetoka?basi mimi housegirl si mwajiri, kwa sababu nina sevente coter ya mlinzi basi namlazimisha mlinzi awe na mkewe ili aweze nisaidia kazi za ndani pale ninaposhindwa, lakini nae kwa mashariti kuwa ukiona sijaamka marufuku kuingia kwangu, pia mpaka nikuite ndipo uje ufanye usafi.


Basi tabia yake hiyo inanifanya niumiee sana, na mimi ikafikia hatua najichua mwenyewe ila si enjoy sana kwani nahitaji denda, maromance, basi some time najiandaa mwenyewe kinyegenyege naandaa kitanda changu kwa mshambulizi nikijua leo kazi, basi mtoto wa kike natoa mapozi kitandani hata kama kuna baridi mimi najichanua nikijua namdip kumbe wapi!


Nimeshamueleza ten times bila kujirekebisha. Sometimes nimelala usiku mume wangu huamka kwenda computer kuangalia ma sex, na kujimaliza, nikitokea tu anashtuka anafunga program au hufungulia tv ya bedroom bila sauti anacheck kisha anaenda jimaliza.
Je jamani ndoa za namna hizi si vichochezo tu vya kusalitiana.
 Tatizo la pili shost ni kuoga, mmh am so sorry kutoa siri za ma husband, yaani mimi ni mtoto wa Kitanga najua mapenzi, yaani yaweza pita siku 2 au 3 bila usafi wake wa mwili, na tuna warm shower muda wote, so sometime unajisikia kumshukia mume wako wakuta harufu za ajabu ajabu, sasa ukiwa pale unakula koni kidizaini jamaa anakukandamiza kichwa ili uende chini, yeye hajui kama nanyonya kwa pozi. Raha ya mapenzi usafi bwana hapo mtarambana mpendavyo, hata hili nimejaribu kumshauri bila mafanikio.

Lingine ndugu zanguni, mume wangu hataki mimi nijishughulishe na kazi yeyote ya kuniingizia kipato. Kila ukimwambia ooh mimi nina mshahara wa kututosha, pesa inatosha. Ila ukitaka labda ka' milioni ni for what, why, nalo hili limenichosha kuwa goli kipa tu. Samahani kwa mambo mengi ila naombeni ushauri, naogopa nikitoka kwa huyu nami uzazi wa matatizo, ni mwanaume gani tena atanivumilia.

Continue Reading...

TAMWA,TGNP NA LRHS WAMTAKA PROFESSA JUMA KAPUYA AJIUZULU KUFUATIA KASHFA YA KUBAKA NA KUMUAMBUKIZA UKIMWI MWANAFUNZI

Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (Tamwa), kwa kushirikiana na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) na Kituo cha Msaada wa Kisheria (LHRC), kimelaani viongozi wanaotumia madaraka yao, nafasi zao na nguvu zao kisiasa kuwadhalilisha watoto wa kike.

Mashirika hayo yanayotetea haki za wanawake na watoto, yamesema yamesikitishwa na habari zilizozoripotiwa kwenye baadhi ya vyombo vya habari kuhusu wasichana wawili wanaotafuta haki yao dhidi ya kiongozi wa kiserikali anayetuhumiwa kuwadhalilisha.
Mkurugenzi Mtendaji wa Tamwa,Valerie Msoka

 "Mashirika hayo yanafahamu kuwa vitisho vilivyotolewa na kiongozi huyo vimewasababishia wasichana hao kuogopa kuishi nyumbani kwao kwa kuhofia maisha yao," ilisema sehamu ya taarifa ya pamoja ya mashirika hayo.


Iliongeza: “Tunashangazwa kuona hakuna hatua zozote zilizochukuliwa na mamlaka husika wakati wasichana hao wakitafuta msaada," alisema Mkurugenzi Mtendaji wa Tamwa,  Valerie Msoka, katika taarifa hiyo.


Masharika hayo yametoa wito kwa mamlaka husika kuchukua hatua za haraka kuwalinda wasichana hao dhidi ya mtuhumiwa.
 
Aidha, ili kujenga imani na utawala bora, mashirika hayo yamemtaka mbunge huyo kujiuzulu mara moja.
 
Alisema Tamwa, TGNP na LHRC, yanawataka Watanzania kuungana na kupinga viongozi wanaotumia madaraka yao vibaya. Watanzania wapige vita vitendo visivyo vya haki kwa kuwa hakuna mtu aliye juu ya sheria
Continue Reading...

CHANGUDOA AKIRI KUCHOSHWA NA BIASHARA YA KUUZA MWILI WAKE, AELEZEA KWA UCHUNGU UGUMU WA BIASHARA HIYO.!!

INAWEZEKANA umeshalizwa na mengi, umesikitishwa na vingi lakini stori ya dada Aziza Athumani (21), anayefanya biashara ya kuuza mwili wake, inatia uchungu sana

Aziza anayefanya biashara ya kujiuza jijini Dar es Salaam kwa sasa ni mgonjwa lakini analazimika kuendelea na biashara hiyo ili aweze kujikimu.

Sasa, hebu fuatilia mahojiano yetu na Aziza.

Ijumaa: Hebu tuambie...ni nini hasa kilikusukuma kuingia kwenye biashara hii haramu?

Aziza: Maisha kaka yangu, maisha. Nilizaliwa Mtwara miaka 21 iliyopita. Niliishi na mama na wadogo zangu. Baba yangu anaishi hapa Dar. Bahati mbaya,  baadaye mama alifariki dunia. Hapo ndipo maisha yalipoanza kuwa magumu.

Ijumaa: Kwa hiyo shughuli ya kujiuza ulianza hukohuko Mtwara?

Aziza: Hapana. Maisha yalivyokuwa magumu baada ya mama kufariki, niliamua kuja Dar kutafuta maisha. Nilifikia kwenye baa moja iliyopo Sinza, nakumbuka ilikuwa mwaka 2010, nikiwa na miaka 17. Kipato kilikuwa kidogo sana lakini wateja walikuwa wakiniachia chenji ndogondogo.

Ijumaa: Kwa siku ulikuwa unaweza kuingiza shilingi ngapi?

Aziza: Hadi 10,000 nilikuwa nafikisha, wakati mwingine inazidi kidogo. Tatizo wanaume wa baa siyo wastaarabu. Wakilewa wanaanza kukushikashika. Mimi nilikuwa mdogo kwa hiyo nilivyokataa, nilifokewa na meneja. Nikawa nawaachia.

Siku moja, mteja mmoja akanitaka, nikakataa. Ikawa kama wameambiana. Karibu wote waliokuwa wakiniachia chenji wakanitongoza, wote nikawakataa, kuanzia hapo wakawa hawaniachii chenji tena. Maisha yakabadilika.

Ijumaa: Yakawaje?

Aziza: Nikawa sina fedha za kutosha kujikimu mimi na wadogo zangu. Wakati mwingine nilikuwa nalala mwenyewe geto (chumbani), wenzangu wote waliondoka na wateja (kulala nao kwa kujiuza). Nikiwaomba pesa, wananicheka, wakaniambia na mimi nitoke. Nikajaribu...kumbe nilikuwa naingia kwenye moto (analia)...nikajikuta nimezoea mchezo wa kujiuza.

Ijumaa: Usilie tafadhali, tulia. Baada ya hapo ikawaje sasa?

Aziza: Niliona biashara ya kujiuza inalipa zaidi kwa hiyo nikaamua kuachana na baa na kujikita moja kwa moja kwenye uchangudoa. Siamini kama mimi ni changudoa lakini sitaki kabisa hii kazi, ni shida tu kaka.

Ijumaa: Pole sana...vipi kuhusu baba yako? Halafu huo mguu una tatizo gani? Pia unaweza kueleza kidogo kuhusu elimu yako?

Aziza: (analia sana – zilipita dakika tano akiendelea kulia. Juhudi za kumbembeleza zilizaa matunda baada ya muda huo).

Ijumaa: Najua inauma sana. Jipe moyo. Unaweza kuendelea sasa!

Aziza: (anafuta machozi) Huyo baba...mzee Athumani ndiyo chanzo cha matatizo haya yote! Mimi sijasoma, niliishia darasa la saba tu. Lakini nikasema nitajitahidi angalau niwasomeshe wadogo zangu ndiyo maana nikaja mjini na kujikuta nimeishia kwenye biashara ya kujiuza.

Kuna tukio ambalo siwezi kulisahau. Ilikuwa Jumamosi, saa 9 usiku, mwezi wa saba, mwaka 2011. Mimi na rafiki yangu Asha tulikuwa tumetoka kujiuza Kinondoni. Tulikodisha pikipiki moja, tukapanda kwa mtindo wa mshikaki. Kwa bahati mbaya, tulipofika Magomeni tukapata ajali mbaya. Asha na dereva walikufa palepale...Mungu amrehemu rafiki yangu Asha (analia tena...).

Nikapelekwa Muhimbili, Kitengo cha Mifupa (MOI), nikalazwa kwa siku kadhaa. Mguu wangu ulikuwa umeharibika sana na hivi unavyoona nina vyuma. Niliporuhusiwa hospitalini, nikaenda kwa baba yangu mzee Athumani, Tandika. Cha ajabu, aliponiona nina magongo, akanifukuza akisema, eti mimi siyo mwanaye. Nililia sana, lakini kwa sababu nilikuwa na akiba kidogo nikaamua kurudi nyumbani kwangu Tandale nilipopanga chumba kimoja.

Pesa ilivyoisha, nikalazimika kurudi tena mtaani kujiuza na hii hali yangu ya magongo. Maisha haya! Sijui kwa nini inakuwa hivi jamani!

Ijumaa: Pole sana dada. Hebu tuambie...unakutana na changamoto gani katika kazi yako?

Aziza: Nyingi lakini kubwa ambayo sitaweza kuisahau ni kubakwa na wanaume watatu kwa mpigo, tena nikiwa na magongo yangu. Iliniuma sana. Wanadamu wana roho mbaya sana. Nilikutana na kaka mmoja, tukakubaliana angenipa shilingi 5,000 kwa muda mfupi.

Akasema, hana pesa ya kwenda gesti hivyo tukaenda kwenye Uwanja wa Urafiki, Shekilango. Nikashangaa nimekutana na wenzake wawili, nilipokataa, walinitolea kisu, ikabidi nikubali tu. Niliumia sana siku hiyo (analia – waandishi wanambembeleza).

Tukio lingine ni pale nilipokutana na mwanaume mmoja mwenye asili ya India, akanidanganya na kuniambia nimzalie mtoto, nikabeba mimba yake. Akanikana.

Huwezi amini kaka zangu, hapa nina mtoto mdogo, hata miaka miwili hajafikisha na nilianza kutoka na kuendelea kujiuza, mtoto akiwa na miezi mitatu tu. Mungu anamnusuru mwanangu, anaendelea vizuri.

Ijumaa: Kwahiyo kwa sasa unafikiri nini juu ya changamoto hizi za maisha yako? Bado unaendelea na shughuli hii?

Aziza: Uongo dhambi kaka, bado najiuza lakini nikipata mtaji wa biashara na matibabu nitaacha. Natakiwa kurudi tena MOI mwezi wa pili mwakani kwa ajili ya kuondolewa vyuma, nimeambiwa niende na laki tatu.

Kama umeguswa na kisa cha Aziza na unataka kumsaidia kwa hali na mali, wasiliana naye moja kwa moja kwa namba 0714 021105.

-GPL

Continue Reading...

FUNDI MAGARI AFUNGWA JELA MWAKA 1 BAADA YA KUMTAKA KIMAPENZI BINTI WA DARASA LA 5

FUNDI  magari  mkazi  wa kijiweni  katika  Halmashauri ya  Manispaa ya  Iringa Bw Abdul Husein (31)  amejikuta  akitupwa  jela  mwaka  mmoja na faini  ya shilingi 200,000 baada  kutiwa  hatiani  na mahakama  ya mwanzo bomani  kwa  kosa la kutaka  penzi  la nguvu  kwa  mwanafunzi  wa darasa la tano  .

Fundi  huyo ambaye  anadaiwa  kukaribishwa katika  nyumba  hiyo   kama mlinzi wa  watoto  wawili  akiwemo mwanafunzi  huyo wa miaka 11 alitenda  kosa  hilo tarehe 4 mwezi huu  majira ya saa  3 usiku  baada  ya  kurejea kutoka katika shughuli  zake.

Akisoma   hukumu  hiyo  jana  hakimu  mkazi  wa mahakama  ya mwanzo bomani  mheshimiwa Alois Masua   alisema  kuwa  katika   ushahidi  ambao  ulitolewa mahakamani  hapo na mtoto  wa kiume wa miaka 9  ulidai  kuwa kijana  huyo siku ya  tukio baada ya  kufika  nyumbani alimtaka  binti  huyo  kumpa  sahani  ili  aweke  chips ambazo  alikuja  nazo .
Kuwa baada ya  binti huyo kumpa  sahani  ndani ya dakika  chache  aliomba  kupewa maji  na binti  huyo alifanya  hivyo baada ya kupewa maji kijana  huyo alimtaka  binti huyo  kusogea  kukaa  katika  kochi ambalo  fundi  huyo amekuwa akilitumia kama  kitanda  chake   sebuleni kama mlizi . Binti  huyo aligoma  kuingia majaribuni .

Hata  hivyo  haikuishia hapo  baada ya  muda  fundi  huyo fataki  alimtaka  binti  huyo kumsindikiza chooni bado  binti  alionyesha msimamo  wa kutamani masomo  yake na  kugoma  kumsindikiza kwa madai  kuwa  yeye ni binti  na huyo ni mwanaume  iweje aombe  kusindikizwa .

Kutokana na  mbinu  zote  kugonga  mwamba  ndipo  fundi  fataki  huyo alipoamua kutumia njia  ya mkato  ya  kumkamata kwa nguvu  binti  huyo na kutaka  kumbaka  chooni  kabla ya binti  huyo kuamua  kupambana na kuishia  kuchaniwa  sketi yake .

Hali  hiyo  ilimfanya  binti huyo kutimua mbio na kuomba msaada kwa mama  yake aliyekuwa amelala  chumba cha  pili kabla ya mama mzazi na  majirani  kuamka na  kumwadabisha  fundi fataki kwa  kumpeleka  polisi.

Hakimu  Masua  alisema  kuwa kutokana na ushahidi  uliotolewa, fundi huyo alipotakiwa  kujitetea  alikana  kujitetea kwa madai  kuwa hawezi kuzungumza chochote katika mahakama  hiyo.

Hivyo  alisema  kutokana  na  mtuhumiwa  huyo  kutenda kosa  hilo kwa mara ya kwanza mahakama  hiyo  ilipaswa  kumfunga  jela kwa miaka  mitano  kutokana na  kosa  hilo la shambulio la aibu  kifungu  cha 135 kanuni ya adhabu  namba 6 marejeo    mwaka 2002.

“ Mahakama  hii  inakuona na  hatia  na  hivyo  inakupunguzia  adhabu  kutoka miaka  mitano  uliyopaswa  kutumikia na kufungwa mwaka mmoja jela  na  ukitoka  utatakiwa  kumlipa  mlalamikaji kiasi cha  Tsh 200,000”
Continue Reading...

HII NDO SIRI ZA KUDUMISHA PENZI LISITETEREKE...!!

UNAWEZA kuanzisha kitu chochote, wakati wowote lakini jambo la msingi zaidi ni namna ya kudumisha na kuendeleza ulichokianzisha. Kwa mfano, unaweza kufungua biashara fulani lakini ukafeli katika kuisimamia na kufuja fedha, hutafanikiwa!

Marafiki zangu, ndivyo ilivyo hata kwenye uhusiano. Unaanzisha sawa, lakini vipi kuhusu kudumisha penzi lako likaendelea kuwa na nguvu zaidi siku hadi siku? Hilo ndilo somo tunaloendelea kulijadili hapa kwenye Let’s Talk About Love.

Kama mtakumbuka vizuri, wiki iliyopita nilianza kwa kufafanua namna ya kutambua thamani na kuithamini. Bila kujua thamani yako wewe kwanza, kujithamini na kumuona mwenzi wako ni wa muhimu kwako, hutaweza kudumisha penzi lako.
Hebu sasa tuendelee kujifunza katika vipengele vingine marafiki zangu.

MHESHIMU
Mwanaume anapenda sana kuheshimiwa na mpenzi wake. Kwa kawaida, mwanaume akigundua haheshimiwi au unafanya hivyo kwa kumridhisha tu na si kutoka moyoni, ni rahisi kukuacha.
Kama kichwa cha familia, lazima apewe nafasi ya kutoa uamuzi tangu mapema. Ikiwa utakuwa na majibu mabaya kwake, huonyeshi heshima ni wazi kwamba atakuacha mapema, maana utakuwa umepoteza sifa za kuwa mama wa familia.

KUWA MFARIJI WAKE
Siku hazifanani, hivyo inawezekana kabisa siku moja mwenzi akawa na matatizo aidha ya kiakili, kimaisha au kikazi. Ikitokea umegundua mpenzi wako ana matatizo na hana furaha, wewe ndiyo unatakiwa kuwa mfariji wake.
Lazima umsome, ujue yukoje ili iwe rahisi kugundua tofauti atakayokuwa nayo siku akiwa hayupo sawa. Kumfariji ni jukumu lako, utakuwa umeonesha uwezo wako kikamilifu wa kuwa mama bora hapo baadaye.

Mama ambaye anaweza kurudisha amani ya mume wake, pindi inapokuwa mashakani. Ni mambo yanayowezekana kabisa marafiki zangu. Lazima ujipe umuhimu kwa mwenzako. Akikaa afikirie na kuona kuwa kweli wewe ni muhimu katika maisha yake.

Aone kuna ulazima wa kuharakia ndoa mapema kwa sababu utakuwa umemjengea imani ya moja kwa moja. Huo ndiyo ukweli marafiki zangu. Ikiwa kinyume cha hapo, ni kwamba utakuwa unajiondoa mwenyewe kwenye sifa ya kuwa mke sahihi.

KAULI
Inakupasa uwe na ulimi mtamu. Simaanishi uuweke sukari ili uwe mtamu; hapa nazungumzia juu ya kauli njema. Hutakiwi kuwa na majibu ya hovyo kwa mwenzako, uzungumze kwa staha na heshima. Hapo utakuwa unaingia moja kwa moja kwenye nafasi ya kuwa mke.

Wale wa mitaani, wanasikiliza maneno ya hovyo kutoka kwa marafiki zao ndiyo wanaoweza kuwa na lugha chafu kwa wenzao. Kauli mbaya hukuondolea sifa ya ustaarabu na moja kwa moja unajiweka pembeni mwenyewe. Nani atapenda kuwa na mtu ambaye hajiheshimu? Ana majibu mabaya? Hajali kinachotoka kinywani mwake? Ni nani?

ACHANA NA MAKUNDI
Mwanamke mwenye staha hafungamani na makundi ya mashangingi wa mjini. Wanaume hasa wanaotaka kuoa, hawapendi mke mtarajiwa awe shangingi au anayejihusisha na wanawake wa aina hiyo.

Inaaminika kwamba kwenye makundi hayo hujadiliwa mambo yasiyofaa ndiyo maana wanaume wengi hawapendi wanawake wenye tabia za kukaa kwenye makundi ya mashangingi. Chukua hii kwa faida yako.

-GPL

Continue Reading...

MBUNGE WA CCM (PROFESA KAPUYA) ATISHIA KUJIUA, NI BAADA YA SIRI YAKE YA KUMBAKA NA KUMWAMBUKIZA UKIMWI MWANAFUNZI KUVUJA...



MBUNGE wa Urambo Magharibi, Profesa Juma Kapuya (CCM), ameingia katika matata. Katika kujaribu kudhibiti mtoto wa shule ambaye anadai alibakwa naye na kuambukiwa virusi vya ukimwi, mbunge huyo ametoa vitisho vya kuua mtoto huyo na kujiua kama njia ya kuepuka dhahama inayoelekea kumkabili.
 
Siku moja baada ya gazeti  la  Tanzania Daima  kuripoti habari za mbunge mmoja (bila kumtaja jina), jana asubuhi Profesa Kapuya ameibuka na kumtisha mwanafunzi huyo mwenye miaka 16 anayesoma Shule ya Sekondari Turiani iliyoko Magomeni jijini Dar es Salaam.
 
Baada ya kujua kuwa mtoto huyo ndiye alitoa habari za masahibu hayo, ambayo mbunge hakutaka yajulikane, alimpigia simu mtoto huyo, na baadaye kutuma meseji kadhaa za vitisho.
 
Jana Tanzania Daima ilishuhudia baadhi ya meseji za simu zilizotumwa na Profesa Kapuya kwenda kwa mtoto huyo.
 
Alfajiri saa 11:21 kupitia simu yake ya mkononi yenye namba 0784993***, Profesa Kapuya alituma ujumbe ufuatao kwa mtoto huyo: “chagueni kunisubiri tuje tuongee au mnataka kufa?”
 
Baadaye saa 1:07 asubuhi, alituma ujumbe mwingine kutoka simu hiyo hiyo kwenda kwa mtoto huyo, ukisema: “Mkiuawa, itakuwa nzuri, itawapunguzia gharama za kuishi. Usitake kugombana na serikali, mtoto mdogo kama wewe. Sisi ndo wenye nchi yetu.
 
“Mwambieni Mbowe mwenye hilo gazeti awape nyumba ya kuishi. Si mmemuingizia hela leo? Mnatumika bure watu wanaingiza hela nyingi, mmenitibua lazima niwauwe wiki hiii haitaisha, nitapanga kambi popote.
 
“Jana si wamekuficha? Tuone kama utalindwa milele. Kazi ya kulindwa imeisha, maana wameshatengeneza hela. Lazima mvae sanda. Hilo sio ombi, ni wajibu wenu. Mnajitia mafia watoto sio? Watoto wetu wanauza unga, nani anawakamata? Nani atapigana nasi?”
 
Hata hivyo, baada ya kuhisi kuwa watoto hao wamedhamiria kumchukulia hatua, na wamewasiliana na taasisi mbalimbali za kiraia na serikali zenye uwezo wa kumtia adabu, mbunge huyo alimtumia mtoto huyo ujumbe wa kuonyesha alikuwa anafikiria kunywa sumu..
 
Ujumbe huo uliotumwa kwa mtoto huyo saa 11:2 3 ulisema: “nimewakosea sana, acha nife mie nakunywa sumu nijiue, na nyie mje mnizike.”
 
Hasira za Profesa Kapuya dhidi ya mtoto hao zilitokana na hatua ya mtoto huyo na dada yake kufichua unyama wanaodai kutendewa na mbunge huyo, ambaye amewahi kushika nyadhifa kadhaa za uwaziri katika Serikali ya Awamu ya Nne.
 
Tangu alipogundua kuwa mtoto huyo alizungumza na gazeti hili juzi, saa 5:17 usiku wa kuamkia jana alituma ujumbe usemao: “Si mpo Bilz? Sasa tupo pamoja na nyie mpaka usiku.”
 
Baadaye saa 5:31 alituma ujumbe  huu: “Hivi hamkubali kushindwa? Leo ulifuata nini ofisi ya CCM?”
 
Ujumbe huo ulitokana na ukweli kwamba dada wa mtoto anayedaiwa kubakwa alifika Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) juzi asubuhi kuonana na Katibu Mkuu wa chama hicho, Abdulrahman Kinana, ili kuomba chama kimsaidie kumbana Profesa Kapuya, ambaye alikuwa ameanza kuwatisha yeye na mdogo wake.
 
Hata hivyo, kwa mujibu wa mtoto huyo, Kinana alisema suala hilo si la chama bali la Profesa Kapuya binafsi.
 
Mtoto huyo alikataa ushauri wa kupeleka shauri hilo mbele ya vyombo vya sheria, akidai kuwa jitihada zake zimekuwa zinazimwa na mbunge huyo anayedai serikali haiwezi kumfanya lolote.
 
Alisisitiza kuwa hana imani na serikali, lakini akasema yupo tayari kuchukua hatua kali dhidi ya Profesa Kapuya iwapo atasimamiwa na watetezi wa haki za binadamu.
 
Baadhi ya mashirika yanayotetea makundi kadhaa yakiwamo Kituo cha Sheria na Haki za BInadamu (LHRC) na Mtandao wa Kijinsia Tanzania (TGNP) yalijitokeza kumsaidia watoto hao, ambao ni yatima.
 
Mtoto huyo na dada yake, wakizungumza na gazeti hili kwa hofu mafichoni, walisema kwa sasa hawana imani tena kama kuna serikali nchini Tanzania kwa kuwa wamedhalilishwa, wametembezwa hadi Bungeni na wabunge bila hatua kuchukuliwa, licha ya kutoa taarifa katika kituo cha polisi Oysterbay tangu mwaka jana.
 
Hata hivyo, kabla ya tukio la watoto hao kuripoti, ofisi za gazeti hili juzi usiku kulikuwa na watu waliokuja wakiwatafuta watoto hao, huku wakiwatisha kwa simu na kuwatolea maneno ya kejeli, wakidai watawamwagia tindikali.
 
Mmoja wa watoto hao, alidai kuwa miongoni mwa vijana waliokuwa wanawatisha juzi walikuwa katika gari T170 BGY, Benz, Cream Metalic, ambayo inamilikiwa na mbaya wao.
 
Jana gazeti  hili lilichapisha habari kuwa  mwanafunzi huyo aliyesema kuwa waziri huyo  alimbaka kwenye hoteli moja ya kitalii iliyoko jijini Dar es Salaam mwaka 2011, na kurudia tena kitendo hicho katika Jengo la Biashara Complex lililoko Mwananyamala Juni 3, 2012 alipoitwa kwenda kuchua ada kwa mara ya pili. 
 
Akizungumza kwa uchungu, alisema mbunge huyo alifanya kitendo hicho kwenye Hoteli ya Giraffe, Jijini Dar es Salaam mwaka 2011.
 
Alisema kuwa yeye alikuwa na urafiki na mwanafunzi mwenzake Zuhura Mwaking’inda. Mwaking’inda amewahi kuwa Diwani wa Kata ya Sinza Jimbo la Ubungo, Jijini Dar es Salaam.
 
Kwa mujibu wa mwanafunzi huyo, rafiki yake alikuwa amepooza hivyo alikuwa analazimika kumhudumia hali iliyowaunganisha hadi huyo mtoto alipochukua jukumu la kumtambulisha kwa baba yake ambaye naye alimtambulisha kwa Kapuya ili aweze kumsaidia fedha kwa jili ada.
 
Mwanafunzi huyo alisema baada ya kutambulishwa aliitwa katika hoteli moja jijini Dar ambapo baada ya kufika mapokezi wafanyakazi wa  hoteli hiyo walimkataza kuingia chumbani katika maana kwamba umri wake alikuwa mdogo (mwaka 2011 alikuwa na miaka 14), lakini Kapuya aliamrisha aje chumbani pamoja na dereva na kumwingiza kwa nguvu.
 
Akiwa chumbani alimlazimisha kulala naye kisha kumpa sh laki saba, badala ya sh elfu sitini na saba kiasi ambacho kilikuwa ndio mahitaji halisi ya ada.
 
Mwanafunzi huyo amesema baada ya muhula mmoja aliitwa tena na mbunge huyo katika Jengo la Biashara Complex lililoko Mwananyamala tarehe 3 June 2012, ambapo pia alimlazimisha kulala naye kwenye zulia la ofisi yake, kisha kumpa sh 350,000/.
 
Alisimulia kwamba wakati anatoka kwa huzuni ofisini kwa mbunge huyo, mmoja wa wahudumu wa hapo alimuuliza kwanini anatoka kwa huzuni, alimweleza kisa hicho, na huyo mama aliangua kilio kwa kumwambia “mwanangu umekufa pole tu, huyu baba ni muathirika wa ukimwi”.
 
Aliongeza kuwa baada ya kuambiwa vile alilia na kufanya fujo hapo mapokezi hadi alipokamatwa na walinzi wa kisha kupelekwa kituo cha polisi kufunguliwa mashtaka, lakini akiwa polisi alipoeleza mkasa wote, Polisi walilazimika kumwita Kapuya na wakawasuluhisha kwa makubaliano kwamba Kapuya atakuwa anamlipia ada, na kumpa pesa za matumizi sh. laki tatu kila mwezi, jambo ambalo amekuwa akilitekeleza kupitia simu yake ya mkononi 0755993***.
 
Kwa mujibu wa mwanafunzi huyo, 24 Januari 2013, alifika mtu nyumbani kwao mtu mmoja (jina tunalihifadhi) na kujitambulisha kuwa yeye ni jambazi na kuwa alitumwa kwenda kuwaua kwa malipo ya sh. milioni 50, lakini alipokuta ni watoto wadogo aliwasamehe, na kusema yeye ni jambazi sugu hawezi kupoteza nguvu zake kuua vitoto.
 
Alienda akiwa na bastola, maji kwenye chupa yanayodhaniwa kuwa ni tindikali na bomba la sindano. Kwa mujibu wa mtoto huyo, jambazi huyo anasema kuwa tayari alilipwa milioni 15 za awali.
 
Mtoto huyo alisema jambazi huyo aliwambia kuwa yeye ni rafiki wa mtoto wa Kapuya na wanamfahamu vizuri, lakini hataweza kuaua baada ya kubaini kuwa wao ni yatima tu.
 
Hata hivyo kufikia mwezi Februari mwaka huu, mtu asiyefahamika alienda nyumbani na kutelekeza gari aina ya T.199 BGY Mercedes Benzi ya Blue wakati wanafunzi hao wakiwa shuleni, kisha kuacha ufunguo kwa jirani yao kwa maelekezo kuwa wakifika awapatie.
 
Na Kapuya aliwapigia simu kuwaarifu kuwa amempa zawadi ya gari kwa ajili ya matumizi ila yeye na dada yake wanaruhusiwa kuuza ili wapate pesa kwa ajili ya mahitaji yake siku zilizosalia, kwani muda sio mrefu baada ya uchguzi mkuu 2015, Kapuya atakuwa Waziri Mkuu, hivyo itakuwa ngumu yeye kumtumia huyo binti pesa kama alivyoelekezwa na jeshi la polisi kituo cha Oysterbay.
 
Baada ya mwanafunzi huyo na dada yake ambaye ana umri wa miaka 20, kupewa gari walishindwa kulitumia hivyo kutoa taarifa polisi kwani kwa kupokea gari hilo  ilikuwa ni kuwatelekeza kwani yeye hana hata hela ya kuweka mafuta ya gari, hivyo walienda polisi ili kesi ipelekwe mahakamani kumshtaki kapuya.
 
Polisi wa Oysterbay walikubali kulipeleka tatizo hilo kwa Katibu wa Bunge, ambaye alimwita mwanafunzi huyo na mdogo wake waende Dodoma kukutana na Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge ingawa walipofika Dodoma walikaa na kamati ya hiyo kwa maelezo kuwa Kapuya hakuwepo hadi Bunge lilipoisha walirejeshwa Dar es Salaam.
 
Mtoto huyo na dada yake alitoka ofisi za CCM lakini akiwa anaelekea kituo cha basi alithadharishwa na mwanafunzi mwingine kwa haraka kuwa akimbie kwa kuwa atamwagiwa tindikali na watu waliokuwa wanamfuata nyuma, alikimbilia katika mtaa wa Hoteli ya Star light kisha aliomba msaada baada ya kupotea njia na hivyo alisaidiwa na mama mmoja kufikishwa chumba cha habari cha Channel Ten.
 
Ni katika chumba hicho ndio mwandishi wa habari hizi alienda na kuwakuta watu wawili hao waliokuwa wanamhitaji binti huyo lakini walikatazwa kumchukua.
Chanzo: Tanzania  Daima
Continue Reading...

MZEE WA MIAKA 80 AJIUA BAADA YA KUGUNDUA KUWA MKEWE ANATEMBEA NA MTOTO WA MIAKA 12, SOMA MKASA MZIMA HAPA

Mke wa marehemu, Asha Ali (50) anayetuhumiwa kutembea na mwanaye wa miaka 12.
AMA kweli duniani kuna mambo! Mzee Juma Kondo (80) mkazi wa Mkuranga mkoani Pwani amejiua kwa kunywa dawa ya macho hivi karibuni kutokana na wivu wa kimapenzi.


Kwa mujibu wa chanzo chetu kilichopo jirani na familia hiyo, mzee Juma na mkewe, Asha Ali (50) walikuwa na mgogoro wa muda mrefu uliotokana na mambo ya mapenzi.
Mzee huyo alikuwa akimtuhumu mkewe kutembea na mtoto wao wa mwisho ambaye ana umri wa miaka 12 (jina kapuni).
“Mpaka marehemu anachukua uamuzi wa kujiua, mgogoro mkubwa kati yao ulikuwa ni kumlalamikia mkewe kutembea na mtoto wao huyo anayesoma darasa la tano,” kimesema chanzo hicho.
Waandishi wetu walizungumza na mke wa marehemu, Asha ambaye alikiri mumewe kujiua kutokana na wivu huo wa mapenzi.
“Ndani ya ndoa yetu tulikuwa na mgogoro na mume wangu alikuwa akinituhumu kutembea na mwanangu kitu ambacho hakikuwa cha kweli, binafsi siwezi kulala na mwanangu kwa sababu mimi siyo kuku.
Mtoto wa mwisho wa marehemu mwenye umri wa miaka 12 anayesoma darasa la tano anayetuhumiwa kutembea na mama'ke.
“Mara kadhaa tumeshakwenda kwa mwenyekiti kusuluhishwa lakini ilishindikana.
“Mara ya mwisho alinitaka nile kiapo kwa kushika kitabu cha dini lakini nilikataa kwa sababu siwezi kuapa kitu cha uongo na baada ya hapo tulikaa siku mbili ndipo alipokunywa hiyo dawa ya macho na kufa,” alisema mama huyo.
Pia, mke huyo alisema kuwa kuna siku mumewe alimwambia kuwa atakunywa sumu kwa sababu macho yake yalikuwa hayaoni na haoni raha ya kuishi duniani.
Mtoto wa marehemu alisema amesikitishwa na kitendo cha baba yake kumtuhumu kutembea na mama yake lakini hakuwa na la kufanya.
Kaburi la marehemu Mzee Juma Kondo (80).
“Hivi sasa naona aibu kwa kuwa mitaani nadaiwa kusababisha kifo cha baba yangu, naumia sana,” alisema mtoto huyo huku akikanusha kutembea na mama yake.
Mwenyekiti wa Mkuranga B, Abdallah Ali Kingwele amethibitisha kutokea kwa kifo hicho ambacho kimewaacha watu midomo wazi.
“Kabla ya kifo niliwasuluhisha lakini mzee Juma alitaka mkewe aape kama kweli hana uhusiano na mtoto wake ambapo alikataa kuapa ndipo kikao kiliishia hapo na mgogoro huo ukaendelea mpaka niliposikia amefariki dunia,” alisema mwenyekiti huyo.

Nyumbani kwa marehemu Mzee Juma Kondo.

GPL
Continue Reading...