"Mimi
ni mdada, mwenye miaka 30, pia nipo kwenye ndoa miaka 8. Kwa bahati
mbaya nipo kwenye lile kundi wasiokuwa na watoto ila si tasa, nikiwa
kwenye ndoa niliwahishika ujauzito ukafikisha miezi 8 ikaharibika na
kufanyiwa upasuaji hadi leo hii sijabahatika tena.
Pia ingawa mume wangu
yeye alishakuwa na watoto before hajanioa mimi namshukuru Mungu sipati
manyanyaso yoyote ya suala la mtoto toka kwa mume wangu, daima anaamini
siku mungu atashusha baraka zake.
Kama
isemekavyo ndoa nyingi ndoana, kuna baadhi ya vidudu kwenye ndoa yangu
vinanipa wakati mgumu sana, jamani msione wanandoa wanatoka nje ni wazi
kuna kitu ndani, eeeehehe ile mada ya kusema "mume namtaka bf namtaka"
ilinifurahisha, ingawa mimi bado sijafikia kutoka nje.
Tatizo
la kwanza, ni mume wangu hupenda kupiga bomba sanaaa, yaani nyeto, mimi
najiamini kwenye sita kwa sita naujua mchezo, nilipoanza kugundua hilo
miaka mitano iliyopita. Kuna siku nikiwa sipo chumbani hujikamua
mwenyewe, mara za kwanza nikawa mkali kwake nikimwambia ina maana mimi
sikuridhishi?
Pia
anapojua nina hasira naye huja juu kama moto wa kifuu. Any way si njia
mbaya kujisaidia mwenyewe unapozidiwa ila tatizo linakuja pale mimi
ninapotaka kutombana, jamani jogoo halisimami sawasawa nadhani ni
kutokana alishapiga nyeto wakati nimetoka, sometimes anafanya kushikilia
ndio aingize ila ni ngumu.
Tabia
yake hii imeniathiri kwani huwa najiuliza sasa mtu wa hivi ukiwa na
housegirl au ndugu wa kike kwenye nyumba je si anaweza kuwatomba kama
umetoka?basi mimi housegirl si mwajiri, kwa sababu nina sevente coter ya
mlinzi basi namlazimisha mlinzi awe na mkewe ili aweze nisaidia kazi za
ndani pale ninaposhindwa, lakini nae kwa mashariti kuwa ukiona sijaamka
marufuku kuingia kwangu, pia mpaka nikuite ndipo uje ufanye usafi.
Basi
tabia yake hiyo inanifanya niumiee sana, na mimi ikafikia hatua
najichua mwenyewe ila si enjoy sana kwani nahitaji denda, maromance,
basi some time najiandaa mwenyewe kinyegenyege naandaa kitanda changu
kwa mshambulizi nikijua leo kazi, basi mtoto wa kike natoa mapozi
kitandani hata kama kuna baridi mimi najichanua nikijua namdip kumbe
wapi!
Nimeshamueleza
ten times bila kujirekebisha. Sometimes nimelala usiku mume wangu
huamka kwenda computer kuangalia ma sex, na kujimaliza, nikitokea tu
anashtuka anafunga program au hufungulia tv ya bedroom bila sauti
anacheck kisha anaenda jimaliza.
Je jamani ndoa za namna hizi si vichochezo tu vya kusalitiana.
Tatizo
la pili shost ni kuoga, mmh am so sorry kutoa siri za ma husband, yaani
mimi ni mtoto wa Kitanga najua mapenzi, yaani yaweza pita siku 2 au 3
bila usafi wake wa mwili, na tuna warm shower muda wote, so sometime
unajisikia kumshukia mume wako wakuta harufu za ajabu ajabu, sasa ukiwa
pale unakula koni kidizaini jamaa anakukandamiza kichwa ili uende chini,
yeye hajui kama nanyonya kwa pozi. Raha ya mapenzi usafi bwana hapo
mtarambana mpendavyo, hata hili nimejaribu kumshauri bila mafanikio.
Lingine
ndugu zanguni, mume wangu hataki mimi nijishughulishe na kazi yeyote ya
kuniingizia kipato. Kila ukimwambia ooh mimi nina mshahara wa
kututosha, pesa inatosha. Ila ukitaka labda ka' milioni ni for what,
why, nalo hili limenichosha kuwa goli kipa tu. Samahani kwa mambo mengi
ila naombeni ushauri, naogopa nikitoka kwa huyu nami uzazi wa matatizo,
ni mwanaume gani tena atanivumilia.