UJUMBE KUTOKA KWA SINTAH KWA WALE WANAWAKE "VING'ANG'ANIZI WA MAPENZI" SOMA HAPA


 

"This goes out to my ladies ambao ni glues heee kama superglue yaani wanajifanya wenyewe tutabanana hapa hapa,

Jamani kama mwanamme hakupendi muache maana kuna other potentials out there  unakazana na asie wako ili iweje?
Jamani penny hausiki ktk hili maana anaishi na dimondo so naombeni kwa heshima mumuache apumzike tuendelee na yetu" Sintah