Mwanamke
mwenye umri wa miaka 46 , amedaiwa Kubakwa na watu wasiofaamika kisha kuuawa nchini nigeria, mwishoni mwa wiki iliyopita, .Kulingana
na mume wa marehemu, mke wake aliondoka nyumbani
mapema Ijumaa kwa ajili ya kwenda kutoa huduma ya kanisa nyumbani kwa mchungaji wake.
Inadaiwa kuwa Mwananke huyo alipigwa na kitu kizito kichwani baada ya tukio la ubakaji ndipo umauti ulipomkuta.