UCHUNGUZI WA MWENENDO WA KISIASA WA ZITTO Z. KABWE NDANI NA NJE YA CHADEMA.
Tangu
mwaka 2008 mwenendo wa kisiasa wa Zitto Zuber Kabwe ulianza kutiliwa
shaka na wanachama wa CHADEMA ndani na nje ya chama, Hili lilipelekea
kuibuka maneno ya chini kwa chini kuwa anakisaliti chama.
Hilo liliilazimu timu ya kijasusi ya chama kuanza kufuatilia nyendo zake kwa ukaribu zaidi usiku na mchana ili kujiridhisha pasipo kuacha chembe ya mashaka. Ifahamike kuwa chama kina idara ya ulinzi na usalama wa chama na viongozi wake yenye uwezo wa kufuatilia nyendo za majasusi wa nje na viongozi na wanachama wake popote walipo kwa masaa 24. Baada ya kujiridhisha kuwa mwenendo wake ni wa mashaka, bila kusita timu ya ujasusi ilianza kazi rasmi ya ujasusi dhidi ya nyendo zote za Zitto Zuberi Kabwe
Hilo liliilazimu timu ya kijasusi ya chama kuanza kufuatilia nyendo zake kwa ukaribu zaidi usiku na mchana ili kujiridhisha pasipo kuacha chembe ya mashaka. Ifahamike kuwa chama kina idara ya ulinzi na usalama wa chama na viongozi wake yenye uwezo wa kufuatilia nyendo za majasusi wa nje na viongozi na wanachama wake popote walipo kwa masaa 24. Baada ya kujiridhisha kuwa mwenendo wake ni wa mashaka, bila kusita timu ya ujasusi ilianza kazi rasmi ya ujasusi dhidi ya nyendo zote za Zitto Zuberi Kabwe
MAMBO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI DHIDI YA ZITTO KABWE.
Kumfuatilia yeye binafsi nyendo zake.
Kufuatilia mawasiliano yake ya simu.
Kufuatilia mawasiliano yake ya barua pepe.
Kufuatilia pato lake nje ya kazi zake halali za kibunge.
Kufuatilia mawasiliano yake ya simu.
Kufuatilia mawasiliano yake ya barua pepe.
Kufuatilia pato lake nje ya kazi zake halali za kibunge.
SEHEMU YA KWANZA 2008
Chombo chetu cha ujasusi tulichokipandikiza kwa siri katika nyendo zote
za Zitto Kabwe na ndani ya vikao vya mwanzo kabisa vya Zitto na
viongozi serikalini, nahata vile vikao muhimu vya idara ya ujasusi ya
chama cha mapinduzi (ccm), kinatupa fursa ya kuweka msingi wa
kuimarisha chama cha CHADEMA na kutenda haki kidemokrasia kwa maslahi
ya chama na Taifa kwa ujumla:
Mnamo Jumatatu ya tarehe 16/6/2008 saa 09:46 asubuhi, Mh Zitto Kabwe kupitia simu yake ya kiganjani namba +255754787550 alipokea simu kutoka kwa Ramadhani Ighondu mwenye namba +255717760473 ambaye
ni afisa Usalama wa Taifa anayefanya kazi ikulu hivi sasa.
Alijitambulisha kuwa yeye ni Usalama wa Taifa ametumwa na mkuu wake wa
kazi aje aongee na Zitto, Maelezo ya msingi katika simu hii ilikuwa ni
bwana Ramadhani Ighondu kuomba miadi ya kuonana kutokana na agizo la
mkuu wake wa kazi.
Siku sita baadae yaani Jumatatu ya tarehe 23/6/2008 saa 07:52 asubuhi,
Zitto alipigiwa tena simu na Ramadhani Ighondu akimkumbusha maongezi
yao waliyo fanya siku 6 zilizopita na kumuomba siku hiyo jioni waonane,
ingawa Zitto alionekana kusita kidogo lakini baadae alikubali,
Walikubaliana wakutane Sea Cliff Hotel, ilipofika jioni ya siku hiyo
Zitto akiwa na marafiki zake wawili Omar Lyasa na Abdalah Said walifika
Sea Cliff Hotel wakaketi na kuagiza vinywaji, Baada ya kama dakika kumi
hivi Zitto alipokea simu ikimuelekeza alipo bwana Ramadhani Ighondu
kisha Zitto akawaambia marafiki zake wamsubiri kidogo, akaondoka
kuelekea aliko elekezwa…..
Mashariki mwa lango kuu la kuingilia Sea Cliff Hotel mita kama tatu tu
kuna mlango mdogo unaoelekea kwenye vyumba maalumu (VIP), chumba namba 8
ndicho Zitto alichokuwa anaelekezwa kwa simu kuingia, chumba hiki kina
meza moja na sofa zilizo zunguka meza ile zenye uwezo wakukaliwa na
watu watano hadi sita, Ndani ya chumba kile Zitto anakutana na watu
watatu ambao ni Steven Wasira, Ramadhani Ighondu na Abdalla Punja
(hawa wote ni TISS)
Mazungumzo yao ndani ya chumba hiki yalianza maramoja, akianza Mr
Ighondu kueleza sababu za wao kumuita Zitto, kikubwa ilikuwa ni “bwana
Zitto, serikali (ikulu) inakutaka uache kuibana na kuishurutisha hasa
kwa hili suala la Buzwagi”. Tunaomba kujua shida yako kubwa ni nini?” Ighondu alihoji, Katika majibu yake Zitto anajibu, “Mimi napigania haki za watanzania, nimechaguliwa na wanakigoma na watanzania wameniamini ni wawakilishe hivyo”, Lakini mashambulizi ya ushawishi yalipozidi Zitto alilegeza msimamo wake.
Katika kikao hiki kilichochukua masaa mawili, Zitto anaonekana kusita
sana na anaomba apewe muda akafikirie aliyoitiwa, wote wanaafiki na
kukubali ombi la Zitto na kikao kinaahirishwa.
Siku tatu tu baada ya kikao cha Hotel ya Sea Cliff, yaani tarehe
27/6/2008 Zitto anakutana na Naibu Mkurugenzi wa TISS Ndugu Jack Zoka
jijini Arusha, hiki sio kikao chao maalumu bali wamekutana kwa mara ya
kwanza wote wakiwa kwenye shughuli za kitaifa, Katika mazungumzo yao
wanaonekana ni watu wanaofahamiana japo si kwa undani, Baada ya maongezi
ya dakika kadhaa wakiwa wamesimama, Mr Zoka alimuuliza “Vipi vijana wangu walikupa ujumbe, umefikia wapi?” Zitto aliitikia kwa kucheka na kusema “yap nipo tayari, lakini nihakikishieni usalama wangu” Katika maongezi haya, Zoka anasikika akisema“Ondoa shaka” Kisha
Mr Zoka anamuagiza Zitto kuwa kesho kutwa yake aende kwa Charles Kimei
(Mkurugenzi CRDB Benki) pale Makao makuu, atayakuta maagizo yake huko.
Tarehe 30/6/2008 majira ya saa 12:22 za alasiri, Zitto akiwa
ameongozana na kijana mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Rajabu Abdala
anaingia eneo la CRDB Benki mtaa wa Azikiwe, na kwenda moja kwamoja
kuonana na Bw Kimei, baada ya salamu haikuchukua muda mrefu, Zitto
akapelekwa katika moja ya vyumba maalumu vya bank hiyo kwenye jengo
hilohilo la Azikiwe, baada ya kufika katika chumba hicho Zitto
alihamaki kuwakuta watu wawili katika chumba hicho, mmoja alikuwa ni
mfanyakazi wa bank hiyo aliyetambuliwa kwa jina la Maselina K. Kombe na
mwingine hakuwa mgeni machoni mwa Zitto, alikuwa ni Ramadhani Ighondu
yule wa TISS waliyekuwa naye kwenye kikao cha awali kule Sea Cliff
Hotel wiki chache zilizopita, Zitto alikabidhiwa Briefcase nyekundu
iliyokuwa imesheheni pesa halali za kitanzania kiasi cha Shilingi
milioni 250.
Wakati hayo yakitendeka yule kijana aliyekuja na Zitto alikuwa kwenye
gari aina ya Toyota Mark 11 No T 134 AAB yenye rangi nyeupe na vioo
vyeusi (Tinted). Baada ya makabidhiano yaliyochukua kama dakika 10 tu,
Mr Ighondu alimwambia Zitto, “tunataka utulivu, mengi mazuri yanakuja utafurahia kijana,” Na kisha Zitto akatoka na begi lake (Briefcase) na kuingia nalo katiga gari ile na kutokomea.
Uchunguzi umeonyesha kuwa pesa ile aliyokabidhiwa ndugu Zitto, ilitoka katika akaunti Namba 0J56708968923 yenye
jina la Shani Maya, ambapo inaonyesha kuwa akaunti hii ilifunguliwa
CRDB tawi la azikiwe tarehe 25/6/2008 saa 10:14 asubuhi, kisha tarehe
27/6/2008 iliingizwa kiasi cha pesa za kitanzania milioni 400. Na tarehe
30/6/2008 pesa hizo zilitolewa zote na akaunti hii ilifungwa.
Madhumuni ya pesa hii kutoka CRDB kwenda kwa Zitto yanathibitishwa na
kikao cha 23/6/2008 pale Hotel ya Sea Cliff kuwa ni kupunguza kasi ya
Zitto kuibana serikali hasa anapo kuwa bungeni. Na kweli kasi yake
iliyozoeleka kwenye kuibana serikali akiwa bungeni ikapungua na kuweka
msingi wa ujenzi wa mashaka juu ya mwenendo wake wa kibunge.
SEHEMU YA PILI
Mnamo Jumatatu ya tarehe 30/11/2009 saa 04:30 asuhuhi wakati wa
maandalizi ya uchaguzi wa mkuu wa 2010, idara ya ujasusi ya ccm
ilikutana kwa siri pale Moven Pick/SERENA Hotel, ndani ya idara hii
wakiwamo Jack Zoka, Wilson Mkama, Kingunge Ngombale Mwiru, Jakaya
Kikwete, Nape Nnauye, Fred Kimati, Steven Wasira, Ramadhani Ighondu,
Martin Palakyo, Mwigulu Nchemba, Ahamed Msangi na Abdalla Punja. Katika
kikao hiki yalijadiliwa mengi sana, lakini kubwa lilikuwa nikukabiliana
na vyama vya upinzani hususani CHADEMA, zilipangwa mbinu nyingi sana
juu ya Chadema, Mbinu hizo ni kama ifuatavyo:
Kuwanunua wagombea ubunge na Udiwani (Mtakumbuka wagombea wetu kadhaa walikuja kununuliwa na chama kina ushahidi kwenye hili).
Kuwanunua VIONGOZI wajuu wa CHADEMA.
Kutumia TISS kutisha wagombea na wanachama wa Chadema (Hii ilikuwa ni kuwakamata au kuvuruga mikutano).
Kuwaua baadhi ya wafuasi wa Chadema, viongozi wa Chadema na wabunge.
Kuwanunua VIONGOZI wajuu wa CHADEMA.
Kutumia TISS kutisha wagombea na wanachama wa Chadema (Hii ilikuwa ni kuwakamata au kuvuruga mikutano).
Kuwaua baadhi ya wafuasi wa Chadema, viongozi wa Chadema na wabunge.
Lakini walitilia mkazo zaidi njia ya kwanza ,ya pili na ya tatu ambapo
kikao kilijiridhisha kuwa mmoja wa VIONGOZI wa Chadema ambae ni Zitto
Kabwe ni mtu wao ambaye wamesha anza kumtumia, kikubwa liandaliwe fungu
tu kwa ajili yakuanza mikakati yao, Waliafikiana mambo mengi kwaajili
ya uchaguzi wa mwaka ambao ungefuata, na wakakubaliana mambo kadhaa
ambayo walimuagiza Mr Zoka akamwambie Zitto nini cha kufanya ili
kupunguza nguvu ya upinzani.
Kwa upande wake Zoka alikiambia kikao kuwa Zitto amemthibitishia kuwa
yeye anawafuasi wakutosha ndani ya chama ambapo watamuunga mkono kwa
lolote hivyo kikubwa ni pesa tu. Lakini kwanza kikao hicho kilimtaka Mr
Zoka amwambie Zitto kuwa taarifa zote zinazoihusu Chadema na za kila
vikao vya ndani vya chama zinatakiwa pia ziifikie timu hiyo ya kijasusi
ya ccm, pili walitaka Zitto apunguze ushiriki katika majukwaa ya chama
na shughuli nyingine za chama. Baada ya kikao sasa ulikuwa ni
utekelezwaji wa maadhimio yao.
Zoezi la kikao cha tarehe 30/11/2009 linaonyesha kuzaa matunda hasa
baada ya kubainika mawasiliano ya karibu sana kati ya Zitto na Jack
Zoka, Kwamfano: Jumamosi ya tarehe 6/12/2009 saa 03:43 asubuhi Zoka
kupitia namba yake ya simu +255756809535alimpigia simu Zitto kupitia simu yake ya kiganjani ambayo ni +255754787550, wakati
wa mawasiliano yao haya ya simu Zitto alikuwa Tabata na maongezi yao
yalihusu kikao cha 30/11/2009 na kile walichoamua timu ya kijasusi ya
chama (ccm) na matakwa yao kwa Zitto. Ndani ya maongezi yao yaliyochukua
dakika 68, Zitto anasema, “Mr kazi hii ni nzito, vipi mmeongeza hela? Isije kuwa kama ile ya mwaka jana.” Anajibiwa na Zoka kuwa“ondoa shaka una dili na Jamhuri, hela sio tatizo”
Lakini zaidi Zitto anamshauri bwana Zoka kuwa utaratibu wa uchukuaji wa pesa ubadilike, “Mr
Jack ile staili ya uchukuaji pesa kule CRDB mwaka jana ilinitisha
kidogo halafu hii isije ikabumburuka vyombo vya habari vipo makini kweli
sasa hivi” Anajibiwa na Bwana Zoka kuwa “Tunazo
njia nyingi sana ambazo si TAKUKURU wala polisi wanaoweza kubaini,
tusikilize sisi, tutakacho kuambia ujue ni salama, Haya Mr (Zitto) wewe
unayajua mazingira vizuri katika nchi moja ya Ulaya?, au unaweza
kutafuta mtu unae mwamini huko ili atumiwe yeye hiyo pesa na awe wa
kuaminika ili tumtumie kwa vipindi hivi vyote, kisha uifuate huko au
uangalie mwenyewe njia sahihi ya kuichukua huko” Suala la kumpata
mtu Ulaya lilionekana kama zito kidogo kwa Zitto, kwani aliomba
wawasiliane kesho yake ili awe na jibu la uhakika.
Tarehe hiyo hiyo 6/12/2009 ya Jumamosi saaa 23:05 usiku, Zitto kupitia simu yake ya mkononi namba +255754787550, alipiga namba +4915739444853, kimaongezi
walionekana ni watu wanafahamiana sana, alikuwa anaongea na mwanamke
,waliongea mengi lakini kubwa lilikuwa ni Zitto kuomba kupitisha hela
yake kwenye akaunti ya huyu mtu. Mwanamke huyu alihoji kama pesa hiyo ni
nyingi na haina madhara? Lakini alijbiwa sio nyingi na haina madhara
kwakuwa inatoka serikalini na chama tawala, Mwanamke huyo alizidi kuhoji
zaidi, “sasa vyombo vya dola vya hapa Berlin vikinihoji nitasema nimepata wapi?” Anajibiwa kuwa “Darling
huniamini? Nimesoma na wewe na nimefanya kazi na wewe, lakini
huniamini? Utasema umelipwa nchini Tanzania kwa kazi yako”, kisha katika maongezi ya hapa na pale dada akakubali na baada ya dakika kumi akamtumia akaunti namba 033B 33093101 Berliner Bank German.
Baada ya kuipata akaunti hii Zitto hakuchelewa, akaipeleka kwa Mr Zoka
kwa njia ya ujumbe wa maandishi (sms), baada ya dakika 5, Zoka
akampigia simu Zitto kupitia namba+255756809535 nae Zitto akapokea kupitia namba +255754787550, na mazungumzo yao yaliyochukua dakika 6 yakaendelea, Zoka aliuliza swali kuwa “Mwenye akaunti hiyo huko Ujerumani unamwamini na unamjua vema?” Majibu ya Zitto yalikuwa “Ondoa
shaka Mr Jack nafanya kazi ya hatari na wewe , siwezi kukuangusha au
kujiangamiza, huyu mtu nimesoma nae na ninamfahamu in and out” Zoka akajibu “ok”.
Jumatano ya tarehe 16/12/2009 majira ya saa 13:12 za mchana kwa Ujerumani akaunti namba 033B 33093101 Berliner Bank, ziliingizwa dola za kimarekani 266,000 pesa
hizi katika uchunguzi zimebainika kuwa zilitoka Tanzania katika Benki
ya NMB tawi la NMB House jiji Dar katika akaunti namba 2231604658 yenye jina la TSA, hii
ni moja ya akaunti za siri za TISS, ambapo wao ndio huzisimamia
akaunti zao zote kwa kutumia mawakala (TISS) walio ndani ya benki hiyo.
Kujiridhisha kuwa pesa hiyo ilifika Ujerumani, kunabainishwa na
mawasiliano ya barua pepe kati ya Zitto Kabwe na yule mwanamke wa
kijerumani aliyemtumia akaunti ya benki, anafahamika kwa jina la Andrea Cordes, mawasiliano yaliyofanywa tarehe 17 alhamisi saa 20:34 usiku ambapo Andrea kupitia barua pepe yake acodes@gmail.com anamwandikia Zitto kupitia barua pepe ya Zitto iitwayo zittokabwe@gmail.com , Andea anasema “Hey sweet, mzigo yako imefika, can we talk?” Ujumbe huu unajibiwa na Zitto saa 21:03 usiku huo kwakusema, “I’m so sorry my darling, nimechelewa kukujibu, I will call you soon”
Saa 23:23 Zitto Kabwe kupitia simu yake ya kiganjani namba +255754787550, alimpiga Andrea Codes kupitia namba +4915739444853, akimweleza
kuwa anashukuru kwa mzigo kumfikia, lakini anataka kumpa utaratibu wa
kuichukua hiyo pesa, ambapo alimweleza kuwa atakuwa anaichukua kidogo
kidogo kila mwezi kwa njia ya Western Union kuanzia dola 20,000 hadi
dola 50,000, wakati huo Andea Codes atakula kamisheni ya dola 25,000.
Uchunguzi wa ndani umebaini pesa hiyo ilitumwa kwa Zitto ndani ya
miezi 8 kwa vipindi tofauti kupitia Western Union kama alivyoomba, na
alikuwa anachukulia maeneo tofauti tofauti hapa jijini Dar, vilevile
uchunguzi umebaini kuwa mwanamke huyu ni Mjerumani aliyewahi kuishi
Tanzania na amezaa mtoto mmoja hapa Tanzania, Mwanamke huyu anaitwa
Andrea Cordes, anaishi Mechernich Ujerumani, mtaa namba 134, nyumba
namba 141, anafanya kazi UN Women Nationales Komitee Deutschland e.V. Shirika
ambalo shughuli zake huendeshea pia Tanzania. Katika uchunguzi zaidi
imebainika kuwa akaunti aliyomtumia Zitto ni ya kwake binafsi, katika
ushahidi tuliobaini kupitia benki iitwayoBerliner Bank yenye Code No Hardenbergstraße 32, 10623 iliyopo mjini Berlin nchini Ujerumani.
SEHEMU YA TATU 2010Uhusiano
usio wa kawaida na wa karibu wa Zitto na viongozi wa ccm, serikali na
wale wa Usalama wa Taifa uliendelea kushamiri hasa kipindi cha kampeni
na kipindi cha uchaguzi mkuu wa 2010, Mfano tarehe 7/9/2010 siku ya
jumanne saa 11:21 asubuhi, Ahmed Msangi kupitia namba yake ya simu ya
kiganjani +255784277884, alimpigia Zitto kupitia simu ya kiganjani namba +255754787550 waliongea mambo mengi japo kwa muda mfupi, na jambo kubwa lilikuwa ni “vipi kuna kipya ndani ya Chadema?” Zitto alijibu “yapo mengi lakini hayana impact kwa ccm” Msangi anajibu “Ok mr nikutakie siku njema”
Lakini mawasiliano ya simu yaliyochukua mda mrefu zaidi yalikuwa kati
ya Zitto na Zoka yaliyofanywa tarehe 10/9/2010 siku ya ijumaa saa
07:04 jioni na mazungumzo yao yalichukua dakika 71, Mazungumzo haya
yalifanywa wakati huo Zitto akiwa katika hoteli ya Blue Pearl Ubungo,
Mr Zoka alitaka kujua mambo kadhaa kuelekea Uchaguzi mkuu, kwanza
alimuuliza “Mr Zitto umejiandaaje, una timu ya kazi?” Zitto akajibu “nipo
fiti kiakili na kimwili na nina timu ya kutosha, ondoa shaka juu
yangu, kama ipo hiyo hela tumeni tu Ujerumani kwenye ile akaunti, na
ningeomba kukutana na mwenyeti wenu (rais JK)” Zoka lijibu “hilo halina tabu nitalifikisha sehemu husika bwana Zitto”,
Uchunguzi umebainisha kuwa akaunti namba 033B 33093101 Berliner Bank ya Germaniliendelea kuingizwa pesa kwa nyakati tofauti kutoka Tanzania kupitia NMB akaunti namba 2231604658 yenye jina la TSA ambayo ni moja ya akaunti za siri za TISS.
Mfano: tarehe 29/9/2010 siku ya juma tano, kiasi cha dola 250,000 kiliingizwa kwenye akaunti hii 033B 33093101 ya Ujerumani, kutoka akaunti namba 2231604658 NMBTanzania,
Tarehe 06/01/2011 siku ya alhamisi, kiasi cha dola 240,000 kiliingizwa kwenye akaunti hii 033B 33093101 ya Ujerumani, kutoka akaunti namba 2231604658 NMB Tanzania,
Tarehe 21/6/2011 siku ya jumanne, kiasi cha dola 240,000 kiliingizwa kwenye akaunti hii 033B 33093101 ya Ujerumani, kutoka akaunti namba 2231604658 NMB Tanzania,
Tarehe 09/12/2011 siku ya ijumaa, kiasi cha dola 255,000 kiliingizwa kwenye akaunti hii 033B 33093101 ya Ujerumani, kutoka akaunti namba 2231604658 NMB Tanzania,
Tarehe 02/02/2012 siku ya alhamisi, kiasi cha dola 260,000 kiliingizwa kwenye akaunti hii 033B 33093101 ya Ujerumani, kutoka akaunti namba 2231604658 NMB Tanzania,
Tarehe 14/05/2012 siku ya jumatatu, kiasi cha dola 250,000 kiliingizwa kwenye akati hii 033B 33093101 ya Ujerumani, kutoka akaunti namba 2231604658 NMB Tanzania,
Tarehe 13/12/2012 siku ya alhamisi, kiasi cha dola 255,000 kiliingizwa kwenye akati hii 033B 33093101 ya Ujerumani, kutoka akaunti namba 2231604658 NMB Tanzania,
Uchunguzi umebainisha kuwa pesa zote zilimfikia Zitto kwa njia ya
Western Union akitumiwa dola 50,000 mpaka dola 20,000 kati ya wiki mbili
mpaka mwezi mmoja.
SEHEMU NNE: MATUMIZI YA PESA HIYO
Uchunguzi umezidi kubaini kuwa kuanzia mwanzoni mwa mwaka 2011, kutoka
kuugwa mkono na wanachadema kama mwanasiasa makini, Zitto aliamua
kuunda kundi la uasi ndani ya chama. Baadhi ya waliounda kundi hili ni:
Zitto Z. Kabwe +255754787550/756809535/713730256Juliana Shonza +255714669850/756359073
Habib Mchange +255762178678
Mtela Mwampamba +255718037358/755178927
Gwakisa Burton +255713316790
Eddo Makata +255757149043/655148758
Greyson Nyakarungu +255755023503
Adams Chagulani +255767137831
Deogratius Kisandu +255655025609
John M. Shibuda +255754465597
Kitila Mkumbo +255754301908
Exaud Mamuya +255767160685 Ben Saanane +255768078523
Habib Mchange +255762178678
Mtela Mwampamba +255718037358/755178927
Gwakisa Burton +255713316790
Eddo Makata +255757149043/655148758
Greyson Nyakarungu +255755023503
Adams Chagulani +255767137831
Deogratius Kisandu +255655025609
John M. Shibuda +255754465597
Kitila Mkumbo +255754301908
Exaud Mamuya +255767160685 Ben Saanane +255768078523
Timu ya upelelezi imebaini kuwa kundi hili lilikuwa linapokea fedha
kutoka kwa Zitto kwa njia ya M-Pesa, Uchunguzi umebaini kuwa kuanzia
2011 kundi hili lilianza kutumiwa pesa na Zitto kwa njia ya M-Pesa kila
mwezi, ambapo kila mwanakundi alikuwa akipokea kati ya 150,000/= mpaka
200,000/= , na ilipofika mwishoni mwa mwaka 2012 kundi hili sasa likawa
linalipwa karibu kwa wiki,
Takwimu
za malipo ya wafuasi wa kundi hili kutoka kwa Zitto kwa mwaka 2012
zinaonyesha walilipwa kwa njia ya M-PESA No+255756809535 hii ni namba
mojawapo ya Zitto Zuberi Kabwe:
Tarehe 25/2/2012 saa 10:09 asubuhi, Zitto Kabwe kupitia +255756809535 aliwatumia shilingi 150,000/= wafuasi wa kundi lake, Juliana
Shonza +255756359073, Habib Mchange +255762178678, Mtela Mwampamba
+255755178927, Gwakisa Burton +255713316790, Eddo Makata +255757149043,
Greyson Nyakarungu +255755023503, Deogratius Kisandu +255655025609,
Adams Chagulani +255767137831, Exaud Mamuya +255767160685, Ben Saanane
+255768078523,
Baada ya hapo saa 10:32 asubuhi hiyohiyo Zitto Kabwe kupitia namba yake ya simu+255756809535 aliwatumia shilingi 200,000/= Mkumbo Kitila +255754301908 na John Shibuda +255754465597
Tarehe 26/3/2012 saa 11:12 asubuhi, Zitto Kabwe kupitia namba yake ya simu+255756809535 aliwatumia shilingi 150,000/= wafuasi wa kundi lake, Juliana
Shonza +255756359073, Habib Mchange +255762178678, Mtela Mwampamba
+255755178927, Gwakisa Burton +255713316790, Eddo Makata +255757149043,
Greyson Nyakarungu +255755023503, Deogratius Kisandu +255655025609,
Adams Chagulani +255767137831, Exaud Mamuya +255767160685, Ben Saanane
+255768078523, Baada ya hapo saa 11:43 asubuhi hiyohiyo Zitto Kabwe
kupitia namba yake ya simu +255756809535 aliwatumia shilingi 200,000/= Mkumbo Kitila +255754301908 na John Shibuda +255754465597
Tarehe 20/4/2012 saa 09:11 asubuhi, Zitto Kabwe kupitia namba yake ya simu+255756809535 aliwatumia shilingi 150,000/= wafuasi wa kundi lake, Juliana
Shonza +255756359073, Habib Mchange +255762178678, Mtela Mwampamba
+255755178927, Gwakisa Burton +255713316790, Eddo Makata +255757149043,
Greyson Nyakarungu +255755023503, Deogratius Kisandu +255655025609,
Adams Chagulani +255767137831, Exaud Mamuya +255767160685, Ben Saanane
+255768078523, Baada ya hapo saa 10:30 asubuhi hiyohiyo Zitto Kabwe
kupitia namba yake ya simu +255756809535 aliwatumia shilingi 200,000/= Mkumbo Kitila +255754301908 na John Shibuda +255754465597
Tarehe 22/5/2012 saa 10:15 asubuhi, Zitto Kabwe kupitia namba yake ya simu+255756809535 aliwatumia shilingi 150,000/= wafuasi wa kundi lake, Juliana
Shonza +255756359073, Habib Mchange +255762178678, Mtela Mwampamba
+255755178927, Gwakisa Burton +255713316790, Eddo Makata +255757149043,
Greyson Nyakarungu +255755023503, Deogratius Kisandu +255655025609,
Adams Chagulani +255767137831, Exaud Mamuya +255767160685, Ben Saanane
+255768078523, Baada ya hapo saa 11:02 asubuhi hiyohiyo Zitto Kabwe
kupitia namba yake ya simu +255756809535 aliwatumia shilingi 200,000/= Mkumbo Kitila +255754301908 na John Shibuda +255754465597
Tarehe 28/6/2012 saa 13:51 mchana, John M. Shibuda kupitia namba yake ya simu+255754465597 aliwatumia shilingi 150,000/= wafuasi wenzake, Habib
Mchange +255762178678, Mtela Mwampamba +255755178927, Gwakisa Burton
+255713316790, Eddo Makata +255757149043, Deogratius Kisandu
+255655025609, Adams Chagulani +255767137831, Exaud Mamuya
+255767160685, Ben Saanane +255768078523, Greyson Nyakarungu
+255755023503, Juliana Shonza +255756359073,
Baada
ya Shibuda kuwalipa 28/6/2012 saa 13:51 mchana, sasa Zitto alibadili
mfumo wa malipo ukawa wa TIGO PESA +255713730256 lakini viwango
vilevile na mtiririko ulele.
Tarehe 22/7/2012 saa 08:17 asubuhi, Zitto Kabwe kupitia namba yake ya simu +255713730256 aliwatumia shilingi 150,000/= wafuasi wa kundi lake, Ben
Saanane +255768078523, Adams Chagulani +255767137831, Juliana Shonza
+255756359073, Habib Mchange +255762178678, Mtela Mwampamba
+255755178927, Gwakisa Burton +255713316790, Eddo Makata +255757149043,
Greyson Nyakarungu +255755023503, Deogratius Kisandu +255655025609,
Exaud Mamuya +255767160685, Kisha saa 09:38 asubuhi hiyohiyo Zitto
Kabwe kupitia namba yake ya simu +255713730256 aliwatumia shilingi 200,000/= Mkumbo Kitila +255754301908 na John Shibuda +255754465597
Tarehe 24/8/2012 saa 09:06 asubuhi, Zitto Kabwe kupitia ++255713730256 aliwatumia shilingi 150,000/= wafuasi wa kundi lake, Ben
Saanane +255768078523, Adams Chagulani +255767137831,Juliana Shonza
+255756359073, Habib Mchange +255762178678, Mtela Mwampamba
+255755178927, Gwakisa Burton +255713316790, Eddo Makata +255757149043,
Greyson Nyakarungu +255755023503, Deogratius Kisandu +255655025609,
Exaud Mamuya +255767160685, Kisha saa 09:23 asubuhi hiyohiyo Zitto
Kabwe kupitia namba yake ya simu +255756809535 aliwatumia shilingi 200,000/= Mkumbo Kitila +255754301908 na John Shibuda +255754465597
Tarehe 02/09/2012 saa 09:52 asubuhi, Zitto Kabwe kupitia +255713730256 aliwatumia shilingi 150,000/= wafuasi wa kundi lake, Ben
Saanane +255768078523, Adams Chagulani +255767137831, Juliana Shonza
+255756359073, Habib Mchange +255762178678, Mtela Mwampamba
+255755178927, Gwakisa Burton +255713316790, Eddo Makata +255757149043,
Greyson Nyakarungu +255755023503, Deogratius Kisandu +255655025609,
Exaud Mamuya +255767160685, Kisha saa 10:43 asubuhi hiyohiyo Zitto
Kabwe kupitia namba yake ya simu +255713730256 aliwatumia shilingi 200,000/= Mkumbo Kitila +255754301908 na John Shibuda +255754465597
Tarehe 20/09/2012 saa 10:19 asubuhi, Zitto Kabwe kupitia +255713730256 aliwatumia shilingi 150,000/= wafuasi wa kundi lake, Ben
Saanane +255768078523, Adams Chagulani +255767137831, Juliana Shonza
+255756359073, Habib Mchange +255762178678, Mtela Mwampamba
+255755178927, Gwakisa Burton +255713316790, Eddo Makata +255757149043,
Greyson Nyakarungu +255755023503, Deogratius Kisandu +255655025609,
Exaud Mamuya +255767160685, Baada ya hapo saa 10:53 asubuhi hiyohiyo
Zitto Kabwe kupitia namba yake ya simu +255713730256 aliwatumia shilingi200,000/= Mkumbo Kitila +255754301908 na John Shibuda +255754465597
Tarehe 24/10/2012 saa 11:18 asubuhi, Zitto Kabwe kupitia +255713730256 aliwatumia shilingi 150,000/= wafuasi wa kundi lake, Ben
Saanane +255768078523, Adams Chagulani +255767137831, Juliana Shonza
+255756359073, Habib Mchange +255762178678, Mtela Mwampamba
+255755178927, Gwakisa Burton +255713316790, Eddo Makata +255757149043,
Greyson Nyakarungu +255755023503, Deogratius Kisandu +255655025609,
Exaud Mamuya +255767160685, Kisha saa 11:52 asubuhi hiyohiyo Zitto
Kabwe kupitia namba yake ya simu +255713730256 aliwatumia shilingi 200,000/= Mkumbo Kitila +255754301908 na John Shibuda +255754465597
Tarehe 25/11/2012 saa 10:34 asubuhi, Zitto Kabwe kupitia +255713730256 aliwatumia shilingi 150,000/= wafuasi wa kundi lake, Juliana
Shonza +255756359073, Habib Mchange +255762178678, Mtela Mwampamba
+255755178927, Gwakisa Burton +255713316790, Eddo Makata +255757149043,
Greyson Nyakarungu +255755023503, Deogratius Kisandu +255655025609,
Adams Chagulani +255767137831, Exaud Mamuya +255767160685, Baada ya
hapo saa 10:56 asubuhi hiyohiyo Zitto Kabwe kupitia namba yake ya simu+255713730256 aliwatumia shilingi 200,000/= Mkumbo Kitila +255754301908 na John Shibuda +255754465597
Tarehe 29/11/2012 saa 12:12 mchana, Zitto Kabwe kupitia +255713730256 aliwatumia shilingi 150,000/= wafuasi wa kundi lake, Juliana
Shonza +255756359073, Habib Mchange +255762178678, Mtela Mwampamba
+255755178927, Gwakisa Burton +255713316790, Eddo Makata +255757149043,
Greyson Nyakarungu +255755023503, Deogratius Kisandu +255655025609,
Adams Chagulani +255767137831, Exaud Mamuya +255767160685, Baada ya
hapo saa 12:32 mchana huohuo Zitto Kabwe kupitia namba yake ya simu+255713730256 aliwatumia shilingi 200,000/= Mkumbo Kitila +255754301908 na John Shibuda +255754465597
Kundi hili lilikuwa na mipango mingi sana, lakini lengo/shabaha/dhamira
ilikuwa ni moja tu nayo ni kukidhohofisha Chadema kwa manufaa ya ccm.
Uthibitisho wa lengo la kundi hili unabainishwa katika mawasiliano ya
simu kati ya Zitto na wanakikundi hicho, katika ujumbe wa maandishi
(sms) aliousambaza kwa wanakikundi hiki Zitto anasisitiza umakini ili
wasije kujulikana na Chama, vilevile anawasisitiza kukisajili kikundi
hiki ikiwa ni pamoja na kufungua akaunti ya benki ya kikundi hiki,
Ujumbe mwingine aliousambaza tarehe 30/11/2012 saa 08:21 kwa wafuasi wa kundi hili kupitia namba +255713730256, unasema, “Ni
lazima tukidhibiti hiki kibabu vile vile lazima tumng’oe Mbowe,
Tunadanganyana tu kuwa chadema itaingia ikulu, kwanza simamieni harakati
za kushinikiza kadi ya kibabu irudishwe ccm”.
Timu ya kijasusi imejiridhidha kuwa Ben Saanane alikuwa
kwenye kundi hilo kwa kazi maalumu na ameisaidia sana timu hii ya
ujasusi kupata habari muhimu za ndani za kundi hilo la uasi lililokuwa
limejipanga kwa ustadi likitumia mbinu za kuwagombanisha viongozi wa
juu wa chama hasa likilenga Mwenyekiti na Katibu mkuu, huku juhudi za
kumkwamisha mwenyekiti wa BAVICHA nazo zikipamba moto na kusukwa kwa
ustadi mkubwa, Kikundi hiki hakikuishia hapo tu kwani kilianzisha mradi
wa kuwatukana viongozi wa Chadema na familia zao, kuanzisha tuhuma za
uongo na kuzisambaza kwenye mitandao ya kijamii. Lilianzisha mradi wa
kuhubiri udini, ukanda na ukabila ndani ya chama kwa kutumia vyombo vya
habari na mitandao ya kijamii. Likaanzisha tena harakati za kumpindua
mwenyekiti kupitia kifupi cha jina PM7 (Pindua Mbowe 7) nk.
MAPENDEKEZO YA HATUA ZA KUCHUKUABaada
ya kujiridhisha kuwa Zitto Zuber Kabwe Mbunge wa Chadema na Naibu
Katibu Mkuu wa Chadema, ameasi Chama na ameunda kundi ndani ya chama
linaloendesha vuguvugu la mapinduzi kwa viongozi halali wa chama kwa
ufadhiri wa chama tawala ccm, ikiwa ni kinyume cha katiba na itifaki za
chama, Timu ya ujasusi inapendekeza yafuatayo:
Chama kijiridhishe bila ya kuacha chembe ya mashaka kutoka kwa wahusika
wa kikundi hiki ambao ni Zitto na wenzake, Ikiwa watakiri kuhusika,
Chama kiwaamuru wawaombe radhi wanachama.
Naibu Katibu mkuu ndugu Zitto Kabwe na Makamu Mwenyekiti wa BAVICHA
ndugu Julina Shonza wapime wenyewe kama wanastahili kuendelea na nafasi
zao za uongozi ndani ya Chama.
Ikiwa Chama kitaamua kuunda tume ya uchunguzi wa haya, wahusika wote
hasa wenye vyeo kama Zitto Kabwe na Juliana Shonza wawekwe pembeni na
shughuli za Chama ili kupisha uchunguzi huru.
Chama kiwavue uanachama Zitto Kabwe na kundi lake lote bila kusita, hii
inatokana na mikakati ya kukiangamiza chama inayoendelea ndani ya CCM
kwa ushirikiano wa Zitto Kabwe na viongozi waandamizi wa ccm.
Kuelekea 2015, Idara ya ujasusi ya chama iongezewe nguvu na mafunzo,
ikiwezekana kiundwe kikosi maalumu nje ya timu ya kijasusi iliyopo sasa
na kipewe mafunzo na vitendea kazi vya kutosha kwaajili ya ulinzi wa
chama na viongozi wake.
Chama kianzishe utaratibu wa semina au mafunzo ya kipindi kifupi na
kati kwa makada wake jinsi ya utumiaji wa mitandao ya kijamii.
Kiundwe kitengo cha propaganda za kisiasa chenye watu weledi wa mambo
na masuala mbalimbali na kipewe uwezo ili kukabiliana na propanda za
chama tawala na vyama vingine.
Chama kizidi kuchukuahatua stahiki za kimaamuzi dhidi ya viongozi au
wanachama wanao dhoofisha harakati za mabadiliko kuelekea 2015 na baada
ya 2015
Mwisho tunawashukuru baadhi ya maafisa wa kijasusi wa mjini Berlin
Ujerumani waliosaidia kupata baadhi ya taarifa muhimu kutoka Ujerumani.
CHANZO: KILEWOBLOG