
Ni muonekano ambao kwa kiasi flani umewachefua mashabiki wake ambao dakika chache baada ya picha hizo kuwekwa walijimwaga kwa comment ambazo hazikumuunga mkono kwa asilimia zote.


“Je nageukia bongoflava au kuna nini kinakuja?”. Aliadika Ray kwenye moja ya picha zake.