Pennie na Diamond ambao wanadaiwa kumtumia Dk Kamdege kufanikisha mambo yao.Dk
Kamdege kutoka Tabora ambae inasemekana amekuwa kwenye ukaribu na
mwanamuziki Diamond pamoja na Pennieh hata kabla hawaanzisha mahusiano
yako.
Katika hali isiyotarajiwa
habari zilizopatikana muda mchache baada ya kuvuja kwa siri ya undugu wa
Pennie na Diamond kumbe chanzo chake inadaiwa mganga mashuhuri Tanzania
toka Mkoani Tabora aliyefahamika kwa jina moja Dk Kamdege ambae
anahusika kwenye mahusiano hayo.
Mganga huyo wa kienyeji ambae
amekuwa maarufu sana tangu aanze huduma huyo kutokana na watu maarufu
wengi kumfuata kwa ajili ya kutatuliwa mambo yao ikiwemo mafanikio
kwenye biashara, kazi, muziki, sanaa, uongozi ngzi za juu pamoja na
michezo.
Habari zaidi zilisema miezi kadhaa iliyopita mganga
huyo aliwahi kujitoa kwenye vyombo vha habari akimsihi Pennie aende
kwake akamtafutie dawa ili Diamond atulie kwani inamfahamu viuzri
mwanamuziki huyo na anajua kitu ambacho angefanya.
Haikupta
muda bila kufahamika kama Pennie alienda kwa Dk huyo au lakini hatimae
Diamond alianza kurejea kwa Pennie na mambo yalimalizika kabisa kabla ya
kuzuka kwa haya ya undugu na ndio maana watu wa karibu wamesema kuwa Dk
huyu anahusika kwenye mahusiano hayo ya Diamond na Pennie kwa kuwa ni
watu wake wa karibu sana.
Blog hii ilimtafuta DK huyo na
alipatikana kupitia namba yake ya simu 0788-844490 na alianza kusema"
Mimi hao vijana nawafahamu sana lakini mimi ni Dk wa Watanzania wote sio
Pennie na Wema tu hapana kazi zangu zinakubarika na watanzania wote na
hata nje ya nchi kwani mimi nawatolea watu mikosi wanaotaka kuwa maarufu
na wenye mafanikio pia nawanyooshea njia kwa hiyo naomba msiseme mimi
ni Dk wa Pennie na Diamond hata viongozi wakubwa Serikalini nawapatia
baraka zangu kisha wanaenda kufanikiwa huwa sipendi kujitangaza huko
kwani mimi situmii uchawi kumpa mutu mfanikio hapana hapa ni miti shamba
tu inafanyakazi yake" Alisema Kamdege
Aidha Mganga huyo
anasemekana amekuwa akitumiwa sana na baadhi ya viongozi serikalini kwa
ajili ya mafanikio kupata uongozi, kupandishwa vyeo kazini, kupewa dawa
ya kumuona mbaya wako kwa macho tu huku mastaa wengi wa muziki, filamu,
na biashara, kumtuliza mpenzi wako ambae hajatulia kwa umalaya vitu
vyote hivyo kwake ni tatizo dogo sana.