Kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram,Diamond jana ame-share
picha ya nyumba hiyo na chini akatia neno. Shuka nayo. 
''Toa kitu weka kitu...! Ndio tulivyo funzwa, stareh tunawaachia wajanja wa mji... #WCB #Wasafi for the Fkn Life!''
ila inaendelea kudhihirisha mafanikio anayoendelea kuyapata Diamond.
