ILI kulinda heshima ya ukurugenzi, Mkurugenzi wa Bendi ya Extra Bongo,
Ally Choki amevuta mkoko Toyota Prado yenye thamani ya shilingi milioni
52.
Mkoko mpya wa Ally Choki aina ya Toyota Prado
“Unajua kila kitu kinakwenda na mipango lakini wakati mwingine
heshima ya mtu inajengwa na vitu vidogovidogo hivyo niliona angalau
ndinga kama hii inaendana na mimi, siyo kwamba nimenunua kuonesha jeuri,
hapana lakini heshima nayo inahusika barabarani,” alisema Choki
.
Kuhusu suala la kujipendelea kununua magari yeye kama mkurugenzi, Choki alisema yeye na bendi yake huwa hawana matatizo ya magari ya kusafiria ndiyo maana wana magari zaidi ya saba yanayotumika kwa shughuli za bendi.
Choki kama mkurugenzi na muimbaji, anakuwa mwanamuziki wa kwanza kumiliki gari la thamani katika wanamuziki wa dansi Bongo.