Huyu kocha wa Man u naona amekuja na
Gundu kubwa kweli .....Sasa hivi Washabiki wa Man hatuongei kabisa mbele
za watu hata tukicheza na team kibonde tunawasiwasi wa kufungwa
.
Yaani sijui anataka kutupeleka ilipokuwa team yake kabla ya kuja Man
u....Jana tumechapwa tatu moja bana sitaki kuongelea hilo sana ila jua
tulifungwa ndio tumefungwa na Etoo...
0 comments:
Post a Comment