INASIKITISHA:- WATU 6 WAPOTEZA MAISHA BAADA YA KUFUNIKWA NA KIFUSI MKOANI KILIMANJARO ....!!

 Uongozi wa mkoa wa Kilimanjaro ukiongozwa na mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama ukishuhudia zoezi la ukoaji wa miili ya watu hao.
 Juhudi za kuokoa waliofukiwa zikiendelea
 Gari aina ya fuso lenye namba za usajili T 167 AQG ambalo marehemu wa tukio hilo walikuwa wakijaza Moramu likiwa limeangukiwa na ngema iliyokatika na kusababisha vifo vya watu sita.
 Miili ya baadhi ya watu waliofunikwa na kifusi ikiwa inafanyiwa utaratibu wa kwenda kuhifadhiwa.
 Miili ya baadhi ya watu waliofunikwa na kifusi ikiwa inafanyiwa utaratibu wa kwenda kuhifadhiwa.
 Miili ya baadhi ya watu waliofunikwa na kifusi ikiwa inafanyiwa utaratibu wa kwenda kuhifadhiwa.
 Huduma ya kwanza kwa majeruhi
 kamati ya ulinzi na usalama ilikuwepo hadi usiku wa  saa nne jana hadi shughuli ilipomalizika.
 Greda ya manispaa ikijaribu kubeba gari lililoangukiwa na kifusi  ili zoezi la uopoaji miiili  liendelee kwa urahisi.
 Zoezi likeindelea
 Zoezi likiendelea
 Moja ya miili iliyofukiwa
 Greda likiendelea na juhudi za uokoaji
Miili ya  marehemu waliofukiwa na kifusi ikitolewa katika udongo baada ya kazi ya zaidi ya saa 5 ya kufukua eneo hilo kumalizika.
 
-Michuzi Blog