‘Ukweli
siku zote watu wanauogopa so sijali atajibu nini kwa sababu niko tayari
kumjibu na nitasimamia kwenye point yangu na yeye kama ataongea aongee,
muziki hauna Mungu mtu wa kusema kwamba asiambiwe kitu chochote hata
kama anakosea, hata kama anaiba mashairi ya watu wengine asiambiwe? hata
kama wimbo wake sio mzuri asiambiwe? tunahitaji changamoto kwenye
muziki’ – Madaha Kwa kumalizia,
Madaha
anasema ‘aumize kichwa kama wenzake na aweze kufanya muziki vizuri
ambao hautategemea kiki kupitia skendo za mapenzi, asijiweke sana kweye
skendo ili watu waelewe uwezo wake binafsi Diamond kama Diamond, so hiyo
haikua beef… ni ukweli na ukweli uauma na kuogopwa, ndio maana
akareact’