Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Shilole alisema amesikitishwa
sana na kutukanwa na kuonesha kuwa amepata uchizi na kudai kuwa
atamshitaki Wema kwani ndiye anayeweza kuwazuia wapambe wake waache
kumshambulia.
Wema akizungumzia ishu hiyo alisema, anamshangaa Shilole kwani
wanaomtukana wala hawajui na kama ana mpango wa kumshitaki atapoteza
muda wake bure.
0 comments:
Post a Comment