Kwa niaba ya Chama Cha Mapinduzi, Katibu Mkuu anawapa pole
wanafamilia, Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Warioba na
Uongozi wa Chama Cha NCCR-Mageuzi.
Hakika Taifa limepoteza Mtaalamu wa
Sheria, Kiongozi Mzalendo na hodari katika kipindi ambacho mawazo yake
yanahitajika kwa kiasi kikubwa kuliendeleza Taifa hili.
Mwenyezi Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi.
Imetolewa na:
KATIBU WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA ITIKADI NA UENEZI
13/11/2013
KATIBU WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA ITIKADI NA UENEZI
13/11/2013